Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 841
- 1,755
Ndiyo maana tunataka katiba mpya ili kumpunguza nguvu mshindani wetu ili tuweze kupata nafasi ya kuingia madarakani.Hata wanaodai Katiba mpya wangekuwa wao madarakani hiyo isingekuwa kipaumbele
Si ni kwa sababu anajua hizo kelele ni za mitandaoni tu.Ila kama raisi katukosea anasema eti
Kwani watanzania wamekwambia wanataka katiba mpya
Ina maana hajui kelele zote hizi
Mama ni ndugu yetu katika imani, au sio?Ni dhahiri Rais amekomaa kuongea na Press. Nampongeza sana kwa alivyochomoa kuingia kwenye mtego wa ahadi hewa.
Naye Kikeke alijioanga kufanya interview ambayo ingemfagilia sana kama Tim Sebastian alivyomhoji Benjamin Mkapa enzi zile.