Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Kikeke: Unaweza kuhakikishia waTz au kutoa ahadi kuwa kabla hujaondoka madarakani Tz itakuwa na Katiba Mpya?
SSH: Kwa nini nihakikishe hilo? Kwa nini unataka nihakikishe hilo?
Kikeke: Kwa sababu watu wanadai kuwa Katiba hii imepitwa na wakati.
SSH: Basi niachie mi na waTz tutaelewana.
Kikeke: Kwa hiyo Katiba itapatikana?
SSH: Si we huishi Tz? Mi na waTz tutaelewana..
Kikeke: WaTz wanasema wanataka Katiba..
SSH: ...wamekwambia wewe?
Ngoja wampambanishe siku na Sakur km hajapigwa maswali akaanza kulia anaonewa kwasabu yeye mwanamkePresident amejibu ki mipasho sana hilo swali...
Unamuulizaje mwandishi kwamba Walikwambia wewe?, niachie mm na watanzania..?
Bimkubwa angekuwa anaandaliwa majibu,, kuna siku ataaibisha taasisi ya Urais
Kwani hapo kafanyaje,kama sio kuidhalilisha!
Kuna kundi Fulani la watu halitakiwi kupewa madaraka makubwa ,wata abuse tu...watu wengine wanataka vitu simple...Ngoma ,michezo...Utamaduni!
Na Maza alidai kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja.Lisu alidai mbaya wake akikuwa Magufuli na Magufuli hayupo sasa wasiwasi wa nini?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kila siku mnasema mnapumua!Na
Na Maza alidai kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Sasa unataka Lissu aaminije bila kuhakikishiwa.....!!?
Majibu ya kishamba sanaKuna clip naiona ikionesha mahojiano ya Salim Kikeke na mama wa Taifa
Salim alimuuliza mama tutegemee lini katiba mpya
Mama akajibu majibu fulani ya kufarakanisha
View attachment 2158872
Katiba ni kipaumbele cha kwanza . Mengi baadayeKuna clip naiona ikionesha mahojiano ya Salim Kikeke na mama wa Taifa
Salim alimuuliza mama tutegemee lini katiba mpya
Mama akajibu majibu fulani ya kufarakanisha
View attachment 2158872
nani kakwambia watanzania wanataka katiba mpya? Iliyopo ndo iliyotuponya na misukosuko ya kiuchuni, kisiasa, kiutamauni, kidini na kiutandawazi..Ila kama raisi katukosea anasema eti
Kwani watanzania wamekwambia wanataka katiba mpya
Ina maana hajui kelele zote hizi
Umesema vizuri, ila kuna watu umewahukumu kwa hisia zako tu.Hata wanaodai Katiba mpya wangekuwa wao madarakani hiyo isingekuwa kipaumbele
Hiyo nayo kaliBila kushuruitisha na kuidai kwa nguvu zote tusitarajie katiba mpya kwa hiari kwa ccm hii, ni sawa na kumdai shetwani haki ya kumwabudu Mungu peke yake!
Una Akili ndogoHata wanaodai Katiba mpya wangekuwa wao madarakani hiyo isingekuwa kipaumbele
Unapiga ramli?Hata wanaodai Katiba mpya wangekuwa wao madarakani hiyo isingekuwa kipaumbele
Unapiga ramli?
Kwa hiyo wafanyeje, waache kudai?
Unategemea tufe wote kwa pamoja...!?