Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?

Mario Kempes

Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
63
Reaction score
122
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.

Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?

Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
 
Msimpangie Rais, nilidhani ajapewa teuzi yoyote, kumbe now ni RC
 
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.

Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?

Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Aondolewe tu.
Ni hatari sana kuchanganya JESHI na siasa.

Historia inaonyesha hivyo.
 
Wote tunafaham kwamba Major General Mbuge alikua anaandaliwa kuwa CDF. Na kwakua mama alikua ndani ya mfumo, basi itoshe tu kusema kwamba kuna mengi aliyajua ambayo pengine sio ya kufurahisha sana.
 
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.

Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?

Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Kwa sababu hatokei ukanda wa pwani, visiwani na sio mwislamu
 
Back
Top Bottom