Mario Kempes
Member
- Jun 29, 2021
- 63
- 122
Nouma sanaMbuge alikuwa anapiga madili kijeshi
Aondolewe tu.Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.
Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?
Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
sheria ndivyo isemavyo au mawazo yako kama wale mashahidi kesi ya mbowe?Mi nadhani rais hawezi muondoa mtu jeshini tena mwenye cheo kikubwa bila recommendations zozote kutoka kwa cdf
Vetting zeroNikwasababu nchi yetu inasheria dhaifu, teuzi na tengua ni maamuzi ya mtu binafsi, tungekuwa na sheria za hao wateuliwa kuwa wanapatikana kwa utaratibu fulani huo ujinga wa kila rais kuja na steps zake isingekuwepo
Kama cdf mwenyewe anaweza kuondolewa na hapo recommendation hutoka wapi?Mi nadhani rais hawezi muondoa mtu jeshini tena mwenye cheo kikubwa bila recommendations zozote kutoka kwa cdf
Tuliona kwa IGP Mangu.Kama cdf mwenyewe anaweza kuondolewa na hapo recommendation hutoka wapi?
Kwa sababu hatokei ukanda wa pwani, visiwani na sio mwislamuWote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.
Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?
Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Sasa nimekupata....umejibu kwa code matata sana!Hivi Ikulu iliyokuwa imebakiza miezi miwili kukamilika imeisha?