ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
🤣🤣🤣🤣🤣Mpare atafia mlimani huwezi kumwondoa...ataloga watu bure[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Mpare atafia mlimani huwezi kumwondoa...ataloga watu bure[emoji16][emoji16]
Labda ilifuata baadae au ilitangulia. Kwani katoa zawadi moja tu? Maanake nyuma yake naona bendela ya Tanzania!Nimekuwa najiuliza kwanini mwarabu hakupewa picha ya mlima wa Kilimanjaro badala yake akapewa ile ya Zanzibar Baitul Ajaibu?
View attachment 2259275
Kwani Mlima Kilimanjaro una mafungamano yoyote yale na Oman kama ilivyo kwa Zanzibar?Nimekuwa najiuliza kwanini mwarabu hakupewa picha ya mlima wa Kilimanjaro badala yake akapewa ile ya Zanzibar Baitul Ajaibu?
View attachment 2259275
Kilimanjaro si mlima wa Kenya ule etiMlima.Kilimanjaro tena?
Mama ni rais wa Tanganyika tulidhani angeenda na picha mmassai na mshale, au umesahau chifu HangayaKwani Mlima Kilimanjaro una mafungamano yoyote yale na Oman kama ilivyo kwa Zanzibar?
Tunafahamu lakini mama alipewa uchifu huko Tanganyika na kuwa Hangaya kwanzaHufahamu historia ya Zenji na Oman?
Tunafahamu lakini mama alipewa uchifu huko Tanganyika na kuwa Hangaya kwanza
Nimekuwa najiuliza kwanini mwarabu hakupewa picha ya mlima wa Kilimanjaro badala yake akapewa ile ya Zanzibar Baitul Ajaibu?
View attachment 2259275
mama si mulimpa uchifu huko na kuwa Chifu Hangaya wa Kwanza., kwanini leo Tanganyika mnatembeza bakuli arabuni kwa kupitia mgongo wa Zanzibar? si mulisema nyinyi mnaweza ishi bila ya Zanzibar?Oman alitawala mlima Kilimanjaro au alikuwa mtawala wa Zanzibar?
Tanzania inaunganishwa kitamaduni na Kiuchumi na historia ya Zanzibar au na Mlima Kilimanjaro?
Mtu ukishakuwa na chuki unajikuta umekuwa mpumbavu automatically ndio maana hata ku reason kidogo tuu mtu hawezi.
Wewe ndio huna akili sasaNimekuwa najiuliza kwanini mwarabu hakupewa picha ya mlima wa Kilimanjaro badala yake akapewa ile ya Zanzibar Baitul Ajaibu?
View attachment 2259275
Tanganyika mnaneemeka kupitia mgongo wa Zanzibar Baitul Ajaibu inaenda kuwajengea barabara Tanganyika na kupata ajira kedekede ndio mana kina Lukuvi walipata kuiachia Zanzibar ijitawaleZote zingekuwa picha tu, hata angepewa mlima Meru ni picha..
Maendeleo yatakuja tanganyika lakini mnatumia historical buildings za Zanzibar, kwanini mama hakupeleka mkuki na karibuni alitawazwa kuwa Chifu?Picha limeanza..nisha lewa..picha limeanza nisha changanyikiwa.
Itakua maandalizi ya sultani kurejea zenji.
Wamemtangulizia picha ya ikulu atakayofikia.
#MaendeleoHayanaChama
Bakuli gani?mama si mulimpa uchifu huko na kuwa Chifu Hangaya wa Kwanza., kwanini leo Tanganyika mnatembeza bakuli arabuni kwa kupitia mgongo wa Zanzibar? si mulisema nyinyi mnaweza ishi bila ya Zanzibar?
Noana na mkurugenzi wa crdb kaenda naeNa bado kasema waje kuwekeza (au kuekeza kwa lafudhi yake) atawapa ‘favourable incentives’ Inabidi tujiulize ana maanisha nini hapa tax holidays za miaka mingi, nyongeza ya capital allowance, low utilities bills kama matakwa ya mradi wa Bagamoyo na mengine ya ovyo kama yaliyomo kwenye MoU ya bandari ya Bagamoyo.
Ana maamisha nini hasa anaposema anawahakikishia yeye binafsi kuwapa ‘favourable incentive’ wakati nchi ina sheria za kuvutia uwekezaji.
Huyu mama ni tatizo she doesn’t know what mess she is inviting, tayari tumeshaingizwa chaka kwenye LNG; sasa anatengeneza matatizo mengine.
Unavutia wawekezaji kwa sababu ya kuleta FDI yeye anawaambia mabank yetu yawape hela wakati wawekezaji wa ndani awana pakupata mikopo iliyo riba kubwa.
Sisi tunataka waje wafungue mabank kwa hela zao, watoe riba nafuu kuongeza ushindani sokoni, watanzania wapate mitaji; not vice versa waje kugombania mikopo ya biashara na watanzania.
Ndo anatumia picha za kumbukumbu za Zanzibar kwa maendeleo ya Tanganyika?Uchifu wake unakomea huko alikopewa...nje ya mipaka ya Tanzania anakuwa anawakilisha Taifa na watu wake wote
Unashangaa nini? Mbona Loliondo haipo Zanzibar ila amewapa WaarabMlima.Kilimanjaro tena?
Ndo anatumia picha za kumbukumbu za Zanzibar kwa maendeleo ya Tanganyika?
Huo mjengo ulijengwa na waOmani🤣Nimekuwa najiuliza kwanini mwarabu hakupewa picha ya mlima wa Kilimanjaro badala yake akapewa ile ya Zanzibar Baitul Ajaibu?
View attachment 2259275