Kwanini Rais Samia ametoa zawadi hii katika ziara yake Oman?

Kwanini Rais Samia ametoa zawadi hii katika ziara yake Oman?

Hufahamu historia ya Zenji na Oman?
 
Kwani Mlima Kilimanjaro una mafungamano yoyote yale na Oman kama ilivyo kwa Zanzibar?
Mama ni rais wa Tanganyika tulidhani angeenda na picha mmassai na mshale, au umesahau chifu Hangaya
 
Tunafahamu lakini mama alipewa uchifu huko Tanganyika na kuwa Hangaya kwanza

Uchifu wake unakomea huko alikopewa...nje ya mipaka ya Tanzania anakuwa anawakilisha Taifa na watu wake wote
 
Na bado kasema waje kuwekeza (au kuekeza kwa lafudhi yake) atawapa ‘favourable incentives’ Inabidi tujiulize ana maanisha nini hapa tax holidays za miaka mingi, nyongeza ya capital allowance, low utilities bills kama matakwa ya mradi wa Bagamoyo na mengine ya ovyo kama yaliyomo kwenye MoU ya bandari ya Bagamoyo.

Ana maamisha nini hasa anaposema anawahakikishia yeye binafsi kuwapa ‘favourable incentive’ wakati nchi ina sheria za kuvutia uwekezaji.

Huyu mama ni tatizo she doesn’t know what mess she is inviting, tayari tumeshaingizwa chaka kwenye LNG; sasa anatengeneza matatizo mengine.

Unavutia wawekezaji kwa sababu ya kuleta FDI yeye anawaambia mabank yetu yawape hela wakati wawekezaji wa ndani awana pakupata mikopo iliyo na riba ndogo.

Sisi tunataka waje wafungue mabank kwa hela zao, watoe riba nafuu kuongeza ushindani sokoni, watanzania wapate mitaji; not vice versa waje kugombania mikopo ya biashara na watanzania.
 
Nimekuwa najiuliza kwanini mwarabu hakupewa picha ya mlima wa Kilimanjaro badala yake akapewa ile ya Zanzibar Baitul Ajaibu?

View attachment 2259275

Mkuu! Mwarabu ana Loliondo Gate, sasa anakamilisha Ngorongoro unataka na Kilimanjaro Mt. apewe? Bara yatosha yakhe sasa apewe na vya Zenj. Btw hilo jengo ni mali yake kwa ivo sio mbaya kuoneshwa ukumbusho wa chapi yake
 
Oman alitawala mlima Kilimanjaro au alikuwa mtawala wa Zanzibar?

Tanzania inaunganishwa kitamaduni na Kiuchumi na historia ya Zanzibar au na Mlima Kilimanjaro?

Mtu ukishakuwa na chuki unajikuta umekuwa mpumbavu automatically ndio maana hata ku reason kidogo tuu mtu hawezi.
mama si mulimpa uchifu huko na kuwa Chifu Hangaya wa Kwanza., kwanini leo Tanganyika mnatembeza bakuli arabuni kwa kupitia mgongo wa Zanzibar? si mulisema nyinyi mnaweza ishi bila ya Zanzibar?
 
Zote zingekuwa picha tu, hata angepewa mlima Meru ni picha..
Tanganyika mnaneemeka kupitia mgongo wa Zanzibar Baitul Ajaibu inaenda kuwajengea barabara Tanganyika na kupata ajira kedekede ndio mana kina Lukuvi walipata kuiachia Zanzibar ijitawale
 
Picha limeanza..nisha lewa..picha limeanza nisha changanyikiwa.

Itakua maandalizi ya sultani kurejea zenji.

Wamemtangulizia picha ya ikulu atakayofikia.

#MaendeleoHayanaChama
Maendeleo yatakuja tanganyika lakini mnatumia historical buildings za Zanzibar, kwanini mama hakupeleka mkuki na karibuni alitawazwa kuwa Chifu?
 
Na bado kasema waje kuwekeza (au kuekeza kwa lafudhi yake) atawapa ‘favourable incentives’ Inabidi tujiulize ana maanisha nini hapa tax holidays za miaka mingi, nyongeza ya capital allowance, low utilities bills kama matakwa ya mradi wa Bagamoyo na mengine ya ovyo kama yaliyomo kwenye MoU ya bandari ya Bagamoyo.

Ana maamisha nini hasa anaposema anawahakikishia yeye binafsi kuwapa ‘favourable incentive’ wakati nchi ina sheria za kuvutia uwekezaji.

Huyu mama ni tatizo she doesn’t know what mess she is inviting, tayari tumeshaingizwa chaka kwenye LNG; sasa anatengeneza matatizo mengine.

Unavutia wawekezaji kwa sababu ya kuleta FDI yeye anawaambia mabank yetu yawape hela wakati wawekezaji wa ndani awana pakupata mikopo iliyo riba kubwa.

Sisi tunataka waje wafungue mabank kwa hela zao, watoe riba nafuu kuongeza ushindani sokoni, watanzania wapate mitaji; not vice versa waje kugombania mikopo ya biashara na watanzania.
Noana na mkurugenzi wa crdb kaenda nae
 
Uchifu wake unakomea huko alikopewa...nje ya mipaka ya Tanzania anakuwa anawakilisha Taifa na watu wake wote
Ndo anatumia picha za kumbukumbu za Zanzibar kwa maendeleo ya Tanganyika?
 
Ndo anatumia picha za kumbukumbu za Zanzibar kwa maendeleo ya Tanganyika?

Mkuu hiyo ni picha tu...

Kuna waliomtangulia walikuwa wanatoa zaidi ya picha
 
Back
Top Bottom