Kwanini Rais Samia analindwa na mabunduki mengi hivyo?

Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?

Anaogopa nini? Anamwogopa nani?

Yule aliyemtangulia licha ya kulindwa na makomandoo lkn alikufa.
 
Reactions: Qwy
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?

Anaogopa nini? Anamwogopa nani?

Kwa hiyo unataka alindwe kwa panga na visu? Huyu ni Rais siyo Mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa Kazuramimba.

Respect our president hata kama huafiki itikadi yake you monkey
 
Kitendo cha Samia kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja na ataendeleza kila kitu cha Magufuli kiliwauma mno timu gaidi kwa hiyo lazima tumlinde rais wetu.
@Nyani Ngabu atakuwa amekuelewa vizuri.
 
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?

Anaogopa nini? Anamwogopa nani?

Kuna akina Ndugai na Polepole mitaani!
Na mama alidokezwa, adui ni kijani mwenzio.
 
Reactions: Qwy
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?

Anaogopa nini? Anamwogopa nani?

Ni kwasababu nchi yetu ni masikiy hatuna mitambo maalumu Mingi
 
Walinzi ni wengi zaidi ya wale wa Magufuli.
Hii inategemea eneo alilopo na tathmini ya hali ya kiusalama ya eneo husika.....hivyo kuhitimisha kuna walinzi wengi kwa 'scenario' moja tu sio sahihi.
 
Reactions: Qwy
Kwa hiyo unataka alindwe kwa panga na visu? Huyu ni Rais siyo Mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa Kazuramimba.

Respect our president hata kama huafiki itikadi yake you monkey
Wabongo noma. Mnashindwa ''kumsoma'' mwanzisha thread mnakimbilia kuandika ugoro! BTW hizi ni mbwembwe za kuwachota wananchi akili ili wawaone viongozi na uongozi kama mamlaka yenye nguvu. Nothing more! Hata wao wanajua kama kuna tishio kwa rais basi siyo kwa njia ya direct attack ya kuzuia na bunduki.
 
Mwendazake na helkopta juu pia zilikuwa zinapita kila aelekeako., mama ata hana presha mlinzi wake mwanamke mwenzake na nadhan labda atakuwa na kabastola tu

Hahahahah walinzi wote hao bado unasema ana mlinzi mmoja mwanamke hahaha hao walinzi na mibunduki uoni au hahahahah anayo hofu na hofu ni kwa wana CCM wenzie hahahahhaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnayakuza sana mambo ili kuwaweka raia kwenye hali ya sintofahamu.

.....huo ulinzi ni kawaida Sana kwa kiongozi mkuu wa nchi hamna kingine zaidi ya hapo.
 
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?

Anaogopa nini? Anamwogopa nani?

Ufinyu wa fikra uliwafanya wameze porojo za akina kigogo kuwa Magufuli ni dikiteta na hafai leo yaliyotokea zama za magufuli wanayapaka rangi kisa kigogo anaunga mkono mabadiliko yaani ni heli ukose vyote sio akili damn!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tindo atakwambia ni dhalimu na dikteta
 
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?

Anaogopa nini? Anamwogopa nani?

Kwani ni mara ya kwanza kwa kiongozi wa tanzania kulindwa na mabunduki

Ova
 
Ule umagufulification bado upo na utachukua muda kuondoka. Pia wakuu wa vyombo vya ulinzi wanajipendeza kwa Rais kutafuta fadhila za uteuzi katika nafasi za kisiasa.
Si mlisema huyu ni tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…