inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Suala la ulinzi wa rais ni suala la idara ya usalama wa taifa,usitegemee protokali za ulinzi ziwe zilezile toka nyerere mpaka samiaHakuna gharama, Katiba ya Tz iko simple tu, ni zoezi la kumuapisha makamu kuwa Raisi, na maisha yanaendelea
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
But She is her not him! Wataalamu wa kutems yai, kagua hiyo sentensi kama ipo sawa.SSH alivyoingia madarakani alikuwa humble,tatizo lilianza alipoanza kuzitambua nguvu alizonazo kama Rais!
"if you want to test the man's character,give him power"
Duuh,Huo ni msemo ndugu!But She is her not him! Wataalamu wa kutems yai, kagua hiyo sentensi kama ipo sawa.
Mwacheni mama afaidi matunda ya muungano, mwendazake hamukuwahi kuhojiMmh acha mambo yako huo ulinzi upo hivyo siku zote. Kuna vitu ni vya kutetea na Kuna vingine vipo wazi.
Binafsi Sina shaka na ulinzi wowote.
Mwendazake hamukuwahi kuhoji., mwachaen mama afaidi matunda ya muunganoHuwa zipo mbili. Wanajeshi, askari wa kawaida hadi mgambo. Achilia mbali hao wenye kuvaa kiraia na usalama. Ulinzi wa Samia ule wa Maghufuli cha mtoto.
Mzilankende Akumbukwe Sanaamerithi legacy..
Hahahahaaaaa,umewashtukia?. Utasikia kama Rais hayupo salama vipi kuhusu sisi raia?Kwahiyo mnataka alindwe na Wachache ili likimtokea la kumtokea muanze tena Kulaumu kuwa PSU ya TISS na JWTZ walikuwa hawamlindi? Acheni Unafiki wenu huu
Mkuu kwenye 'you monkey' hapo umeharibu. Ikikupendeza edit.Kwa hiyo unataka alindwe kwa panga na visu? Huyu ni Rais siyo Mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa Kazuramimba.
Respect our president hata kama huafiki itikadi yake you monkey
Mengi mangapi?Hata kama ndivyo hivyo, basi tuligeuze swali liwe;
"....KWANINI RAIS WENU SAMIA HASSAN SULUHU AMEPANGIWA ULINZI MKUBWA WA MABUNDUKI MENGI KIASI HIKI...?"
Umenifundisha jambo kubwa sanaPreventative protection. Presence ya ulinzi kupita kiasi inapunguza uwezekano wa tukio baya kutokea kutokana na hofu kwa watu. Its very effective.
Same thing unavyoona ukienda benki ama wabeba hela wana zile bunduki kubwa shotgun na AK 47. Ni ngumu kufikiria kuiba kwani silaha zinatisha. One of the reasons toka kuanza kwa ulinzi wa namna hii wizi katika mabenki wa silaha umepotea kabisa ukilinganisha na early 2,000s
Wana alama gani?Kwanini wazanzibari ni wengi mno kwenye ulinzi wake
Hivi walikuwa wa Rwanda kweli?Kwahiyo mkuu wale wanajeshi wa Rwanda ni serikali ndiyo ilimuwekea Magufuli? Au mama naye analindwa na hao hao?
Warwanda?Kwahiyo mkuu wale wanajeshi wa Rwanda ni serikali ndiyo ilimuwekea Magufuli? Au mama naye analindwa na hao hao?
Walirudi kuendelea na majukumu mengine huko idarani.Wale walinzi wa JPM walielekeaga wapi? Nimeuliza tu
Gharama ya kumpoteza rais kizembe Ni kubwa kuliko huo ulinzi alionao mama yetu.by the way ni ulinzi wa kawaida Sana huu
Kwahiyo unataka na Samia afe kizembe au?Kwani Magu si alikufa kizembe ! Au ? Security detail yake mbona haikumsaidia ?