Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Yupo kwa ajili ya kuimaliza Tanganyika yetuHuku bara vya kubinafsisha bado vipo vingi kwanini aende zenji na yeye anaishi huku
Acha atunyooshe wajinga sisiYupo kwa ajili ya kuimaliza Tanganyika yetu
Inasikitisha
Tutafika tu kwenye nchi ya ahadi ila tutafika kwa kuchelewaAcha atunyooshe wajinga sisi
Watu M60.... tunapelekwa puta na kikundi cha watu wa chache
Zanzibar ni mwinyi
Tuamke, tusipoamka sasa tutakuwa koloni la Zanzibar mileleIlo chaka lao la baadae kuanza kuwachekea watanganyika. Kua nyie ni mbumbumbu.
Kazi ni kipimo cha utu
SawaTutafika tu kwenye nchi ya ahadi ila tutafika kwa kuchelewa
Oman kwa wajomba zakeMara zote vinavyouzwa huwa ni mali za Urithi
Mnataka auze kwao, Kisha akistaafu aende akaishi wapi ๐คช
Fatilia vema sana wamebinafsisha kitambo sana na ndio walikojifunzia kubinafshishaUwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India ๐ฎ๐ณ.
Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai.
Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na haina maslahi kwa Tanganyika ndio maana mali za Zanzibar ambako ndio kwao hazigusi, wala hazitafutii wawekezaji.
Hii komenti ya kipumbavu zaidi kuiona kwa siku ya leoHuku bara vya kubinafsisha bado vipo vingi kwanini aende zenji na yeye anaishi huku
Hii ni quote ya kipumbavu kuwahi kuiona tangu mwezi wa 9 uanzeHii komenti ya kipumbavu zaidi kuiona kwa siku ya leo
Bandari kuu ya Zanzibar (kama vile Bandari ya Malindi) inamilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC), lakini uendeshaji wake umekabidhiwa kwa kampuni binafsi ya Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT), ambayo ni kampuni tanzu ya kampuni ya kimataifa ya Africa Global Logistics (AGL) kutoka Ufaransa.Fatilia vema sana wamebinafsisha kitambo sana na ndio walikojifunzia kubinafshisha
USSR
Hayo sio mambo ya muungano.Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India ๐ฎ๐ณ.
Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai.
Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na haina maslahi kwa Tanganyika ndio maana mali za Zanzibar ambako ndio kwao hazigusi, wala hazitafutii wawekezaji.
Mkataba wa Zanzibar una maslahi mapana kwa Zanzibar .Fatilia vema sana wamebinafsisha kitambo sana na ndio walikojifunzia kubinafshisha
USSR
Anauza na kubinafsisha za wajinga.Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India ๐ฎ๐ณ.
Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai.
Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na haina maslahi kwa Tanganyika ndio maana mali za Zanzibar ambako ndio kwao hazigusi, wala hazitafutii wawekezaji.
Wajinga ndio waliwao. Watanganyika tunataka Mapinduzi tuyatazame kwenye Televisheni.Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na haina maslahi kwa Tanganyika ndio maana mali za @Zanzibar ambako ndio kwao hazigusi, wala hazitafutii wawekezaji.
Watanzania mko wapumbavu sana.Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India ๐ฎ๐ณ.