Kwanini Rais Samia habinafsishi wala kuuza bandari ya Zanzibar na Uwanja wa ndege wa Zanzibar?

CCM imeifanya Tanganyika kuwa shamba la bibi, wazemji wanajipimia watakavyo.
 
Utasubiri sana
 
Ukweli mchungu
 
Kule ni inchi nyingine huru boss. Huu myngano ni wa kipumbavu
 

Zanzibar ina serikali , katiba yake na Raisi wake . Tanganyika aliiuwa Babu yenu Nyerere unayempenda sana , kumbe amewaingiza choo cha mashoga
 
Sa100 habinafisishi bandari zao za zanzibar kwa sababu lengo lake ni kutukomoa watanganyika.Anauza za tanganyika na kuacha za kwao akishirikiana na baadhi ya watanganyika wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…