Kwanini Rais Samia habinafsishi wala kuuza bandari ya Zanzibar na Uwanja wa ndege wa Zanzibar?

Nina uhakika, rais ajaye atauvunja muungano huu asubuhi na mapema kabisaa.
 
Nina uhakika, rais ajaye atauvunja muungano huu asubuhi na mapema kabisaa.

Raisi ajaye yupi ? na wote ni hao hao CCM ?? Wanatumia vyombo vya dola kukaa madarakani ??
 
Tatizo kuu,
Tanganyika wameyaacha mambo yote ndani ya muungano.

Wazanzibar wamenyofoa nambo yao muhimu ndani ya muungano.
 
Tatizo kuu,
Tanganyika wameyaacha mambo yote ndani ya muungano.

Wazanzibar wamenyofoa nambo yao muhimu ndani ya muungano.

Msidanganyike na ndoto za Marehemu Nyerere , Mambo yote kuanzia Muungano mpaka Tanzania yenyewe ipo bomu tu , hakuna uhalali wa kisheria ni mbinu za Nyerere kutaka kuimeza Zanzibar lakini sasa zimefikia pabaya na bado hamjaamka mkadai kuvunjwa huu uvamizi uliopewa jina la Tanzania
 
RAIA FEKI
 
Toka lini watu wenye vichwa kama bofulo wakawa na akili
 
Zanzibar ina serikali , katiba yake na Raisi wake . Tanganyika aliiuwa Babu yenu Nyerere unayempenda sana , kumbe amewaingiza choo cha mashoga

kwa taarifa yako tu zanzibar imeshauzwa yote kama ulikuwa haujui labda, hakuna kilichobakia tena wameuza kwa foreigners ambao hata hawaishi zanzibar, bora hata huku kwetu kidogo angalau sheria zetu za ardhi bado tunaweza kurudisha mali zetu lkn zanzibar wana sheria tofauti za ardhi na wameshamaliza kuuza kisiwa chote kwa foreigners, next generation ya zanzibar itarudia utumwa tu kwani urutihi wao wote umeshauzwa kwa foreigners. hakuna jinsi ...
 
Zanzibar ina Raisi wake mwenye mamlaka ya kufanya hivyo ni Rais wa Zanzibar sio Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…