Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
- Thread starter
-
- #61
Sasa Samia ni rais wa wapi? Kama Tanzania ni Tanganyika iliyouliwa kinyama, basi ni wakati sahihi wa kuamkaZanzibar ina Raisi wake mwenye mamlaka ya kufanya hivyo ni Rais wa Zanzibar sio Samia
Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳.
Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai.
Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na haina maslahi kwa Tanganyika ndio maana mali za Zanzibar ambako ndio kwao hazigusi, wala hazitafutii wawekezaji.
Umeona ehh...Kuuza mali za bara kumbe ni rahisi sana? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Zanzibar ni nchi nyingine. Samia ni Rais wa Tanganyika iliyobatizwa kuwa Tanzania. Kule Zanzibar ni nchi nyingine hivyo, Rais wa nchi moka hawezi kwenda kusimamia masuala ya nchi nyingineUwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳.
Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai.
Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na haina maslahi kwa Tanganyika ndio maana mali za Zanzibar ambako ndio kwao hazigusi, wala hazitafutii wawekezaji.
Nyerere alikuwa fala namba mojaZanzibar ni nchi nyingine. Samia ni Rais wa Tanganyika iliyobatizwa kuwa Tanzania. Kule Zanzibar ni nchi nyingine hivyo, Rais wa nchi moka hawezi kwenda kusimamia masuala ya nchi nyingine
Nyerere alikuwa fala namba moja
IpTL sio issue ya muungano, hapa tunaongelea uharamu wa muunganoKuna mambo tusimsingizie Nyerere. Tumeyafanya wenyewe. IPTL na balaa zake, sio shida ya Nyerere.
Hata hii ya kupeana uongozi kienyeji enyeji sio shida ya Nyerere.
Ipo siku wataamka wenye nchi na kudai vyao
Nyerere alizingua sana kuhusu huu muundo wa Mungano aliouasisi.Nyerere alikuwa fala namba moja
Anatokea kwenye ukoo wa vichaa, na yeye pia ana watoto vichaaNyerere alizingua sana kuhusu huu muundo wa Mungano aliouasisi.