Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

Nikiwa huku Kilwa na uvuvi wangu akili yangu ndogo inaniambia kuwa Rais ana nyenzo ya "presidential decree "..kuteua na kutengua hakuna sababu zinazotuhusu sisi wananchi bali ni uwanda mpana wa utekelezaji wa kazi zake kikatiba....anaweza akamteua yeyote na kumtengua yeyote kwa sababu anazozijua yeye na silazimiki kuzijua......

#Nchi Kwanza[emoji7]
#4 R's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…