Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

Umebaki muda mdogo sana kuunda safu ya uongozi 2025/30.

Kwangu mimi Ummy Mwalimu ni Waziri Mkuu ajaye na endapo akiwa Waziri Mkuu atapokelewa vizuri sana na kuwa Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu.

Ummy anaenda kupanda ni kupewa shule na utulivu tu anaohitaji kwa sasa.
 
Rais Samia katengua uteuzi wa Ummy Mwalimu kama Waziri wa Afya.

Ni mmoja wa mawaziri ambao sikutarajia angetumbuliwa na Samia!

Imekuwaje akanyang'anywa tonge mdomoni?
Mimi nimeshangaa Jenister Muhagama kuendelea kula shavu.
 
Back
Top Bottom