Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kasoro kidogo sana.Acha mikwara we mzee, unataka kunambia hapo ulipo una miaka 70?
Mama yangu ana miaka 32.
Kwa hiyo mi ni babu yako, angusha 'shikamoo' ili kuyaweka mambo sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasoro kidogo sana.Acha mikwara we mzee, unataka kunambia hapo ulipo una miaka 70?
Mama yangu ana miaka 32.
Kwa huo umri huwezi ingia jf uka chat hivi... Acha fix mzee..Kasoro kidogo sana.
Kwa hiyo mi ni babu yako, angusha 'shikamoo' ili kuyaweka mambo sawa.
Mwaka ule alipo jifungua yule mnene mrefu ulikuwa ng'ambo aukabisa, sijawahi ona waziri mja mzito,
Kwani unanikadiria umri gani?Kwa huo umri huwezi ingia jf uka chat hivi... Acha fix mzee..
Mzee anayekaribia miaka 70 hana muandiko wa namna hii...Kwani unanikadiria umri gani?
Sikia bw mdogo, mi shastaafu, watoto wala wajukuu sina, wote wapo kwenye positions zao sina majukumu.
Hivyo nashinda Jf kama mfariji wangu mkuu kutwa nzima. Mungu vile!
Mohammed Said mtoto wa jana.Mzee anayekaribia miaka 70 hana muandiko wa namna hii...
Humu member ninayefahamu ni mzee ni Mohamed Said tu.
Mtoto wa jana? Yule anakuzaa...Mohammed Said mtoto wa jana.
Duuh! Yule mbibi bado anazaa??Hajamtumbuwa, Ummy uja uzito unamsubuwa sana. Mwenyezi Mungu amsalim salama.
IVF imekubali, kwanini hakutumia surrogateHajamtumbuwa, Ummy uja uzito unamsubuwa sana. Mwenyezi Mungu amsalim salama.
Waziri ??Hajamtumbuwa, Ummy uja uzito unamsubuwa sana. Mwenyezi Mungu amsalim salama.
Amefanya nini kuwa bora sana? Naomba nijuze ubora wake aisee.Hata mimi nimeshangaa sana maana Ummy ni miongoni mwa mawaziri bora sana
Weka hapa tuuoneFuatilia Uzi mmoja hivi ulianzishwa na Britanica
Aaah kweli?Hajamtumbuwa, Ummy uja uzito unamsubuwa sana. Mwenyezi Mungu amsalim salama.
At 51 acha uongo weweHajamtumbuwa, Ummy uja uzito unamsubuwa sana. Mwenyezi Mungu amsalim salama.