Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

Kwani unanikadiria umri gani?

Sikia bw mdogo, mi shastaafu, watoto wala wajukuu sina, wote wapo kwenye positions zao sina majukumu.

Hivyo nashinda Jf kama mfariji wangu mkuu kutwa nzima. Mungu vile!
Mzee anayekaribia miaka 70 hana muandiko wa namna hii...
Humu member ninayefahamu ni mzee ni Mohamed Said tu.
 
Huenda kuna sababu, mie na wewe tutakisia, ila madam President anajua sababu.
 
Hicho kimama uwezo wake ni mdogo yani Ummy amechelewa sana kutolewa hiyo wizara kifupi alikuwa hatoshi!

Kama ulifuatilia mjadala wa kuondolewa kwa toto afya card na baadhi ya dawa katika vile vifurushi vipya vya NHIF utakubaliana na mimi alipwaya mno huyu alibaki tu kumsifia Samia hata kwa mambo yasiyo ya wizara yake.
IMG_20240815_153359.jpg
 
Back
Top Bottom