Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

Rais Samia katengua uteuzi wa Ummy Mwalimu kama Waziri wa Afya.

Ni mmoja wa mawaziri ambao sikutarajia angetumbuliwa na Samia!

Imekuwaje akanyang'anywa tonge mdomoni?
Hivi siku ukiambiwa shemeji yako anatoka na dadaako kimapenzi utaamini?
 
Bima ya Afya - hasa kwa watoto under 18 na mama wajawazito!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…