Kenya 2022 Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajampongezi Rais Mteule William Ruto?

Kenya 2022 General Election

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
William Samoei Ruto ametangazwa kuwa Rais mteule wa Kenya.

Marais kadhaa wa nchi jirani wamempa pongezi kupitia Twitter ila sijaona kwa Rais wetu

Ni kuwa alikuwa anataka Raila ashinde?
 
Niliwaambia Ruto anakuwa Rais wa Kenya na sasa imekuwa Asante Mungu
 
Mkuu kuna Mambo lazima kusoma upepo kwanza .
 
William Samoei Ruto ametangazwa kuwa rais mteule wa Kenya na tume ya Uchaguzi

Marais kadhaa wa nchi jirani wamempa pongezi kupitia Twitter ila sijaona kwa Rais wetu

Ni kuwa alikuwa anataka Raila ashinde?
Kila kitu ni kukosoa tu...tuendelee na malalamiko wenetu
 
Duuuuuh hivi si mumuache Raisi wetu jamani....kila kitu lazma afanye..??....ngoja aisee haraka yanini??
 
William Samoei Ruto ametangazwa kuwa rais mteule wa Kenya na tume ya Uchaguzi

Marais kadhaa wa nchi jirani wamempa pongezi kupitia Twitter ila sijaona kwa Rais wetu

Ni kuwa alikuwa anataka Raila ashinde?
Ushaambiwa halali, wateule wenyewe anatuleaga saa nane usiku tuliza kipago.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…