Kenya 2022 Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajampongezi Rais Mteule William Ruto?

Kenya 2022 Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajampongezi Rais Mteule William Ruto?

Kenya 2022 General Election
Kuna mambo mengine hata si ya kumlazimisha mtu sas Kwa mfano alitaka Raila apite kwani yeye ndo anahusika kupitisha, hizo pongezi kwani lazima atoe Leo??
 
William Samoei Ruto ametangazwa kuwa Rais mteule wa Kenya.

Marais kadhaa wa nchi jirani wamempa pongezi kupitia Twitter ila sijaona kwa Rais wetu

Ni kuwa alikuwa anataka Raila ashinde?
Hongera umefanikiwa kuandika mada hapa JF
 
Najua kuna wabaya wako wanajaribu kukushauri uchelewe kutoa pongezi kwa Ruto eti wakidai usubiri taratibu za ki mahakama zimalizike endapo Odinga ataenda Mahakamani!

Kama mshabiki wako ninayekutakia mema na mazuri naomba usiwasikilize, wengi wao ni watu wa yule mtu wasiokutakia mazuri. Marais wa South Africa, Zimbabwe, Nigeria wametoa pongezi tayari. Naomba uwe wa kwanza kwa Africa Mashariki kutoa pongezi za wazi kwa Ruto kwa sababu uchaguzi umeshafanyika na Ruto ndo ametangazwa mshindi.

Tengeneza rafiki wako sasa kwa maslahi makubwa ya Tanzania hapo baadae!

Asante.
 
Naona asubiri after one week ndio atoe hizo pongezi zake, hao marais wengine kutoa pongezi zao haina maana na Samia nae atoe zake.

Ningemshauri atoe pongezi zake haraka kama huo uchaguzi ungekuwa umefanyika hapa Tanzania, kwenye mahakama zao wenye nchi.
 
Hapana! Wakati ni huu
 
Mshindi ni WSR, huo ndio mpango mzima, kwanza ni Aibu kwa mshiriki aliyepata support serikali iliyopo madarakani na deep state yote kwenda mahakamani kumlalamikia hastler kuwa ameiba uchaguzi,hicho ni kichekesho.Na Chebukati kujua kuna makamishna mamluki ndio maana akaweka matokeo wazi ili kusiwe na doubts.
 
Back
Top Bottom