Kenya 2022 Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajampongezi Rais Mteule William Ruto?

Kenya 2022 General Election
Huyu mama aache uswahili.. ampongeze Ruto direct aache mambo yao ya kinafki nafki na kichawi ya CCM.
Pongezi za moja kwa moja kwa Rais Mteule kwa nchi ambayo matokeo yanaweza kupingwa mahakamani, hutolewa baada ya uapisho. Niko tayari kurekebishwa
 
Pomgezi zimeshatoka kitambo mkuu.
Tazama twitter ya Mama Saia.
 
Yaani ukiunga kura zote za Urais zinafikia 101%.

Kura zaidi ya 140,000 hazina mwenyewe.zilizoharibika hata moja haipo. Idadi ya wapiga kura haipo.

Majirani hili ni soo kubwa mno tume kugawanyika makundi mawili...namekumbuka enzi za mh. Zecha dadadeq kitu kikatangaza afu kikajipotea miezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…