Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kwenye Baraza la Mawaziri?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,

Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi.

Kuna nini nyuma upendeleo huo wa hio mikoa miwili na hoja za msingi ni nini?

Chamata karibuni kwa mnyukano.

Wadiz
 
Hujatoa takwimu kama waliopendelewa wana mawaziri wangapi. Waliotengwa ni akina nani na wamepungukiwa kwa kiasi gani. Nivizuri ufafanue zaidi
 
Shalom,

Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi.

Kuna nini nyuma upendeleo huo wa hio mikoa miwili na hoja za msingi ni nini?

Chamata karibuni kwa mnyukano

Wadiz
Wote ni walewale, hawana tija endelevu.
 
Swali lako lingekuwa na mashiko kama ungeuliza, "Kwanini raisi anateua watu wasiokuwa na ufanisi?"

Hayo ya ukanda, udini, umkoa na makorokoro mengine ya aina hiyo ni ya watu waliofilisika kifikra.
 
Shalom,

Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi.

Kuna nini nyuma upendeleo huo wa hio mikoa miwili na hoja za msingi ni nini?

Chamata karibuni kwa mnyukano.

Wadiz
labda anaogopa,manake wa2 wa bara ni critical thinkers,,,,wa2 wa pwani wote ni chawa
 
Back
Top Bottom