Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubali mmepuyanga kwenye hiyo picha, taswira mnayoleta siyo ile mliyokusudiaYaaaah kama kama gharama ya kuishi ghorofani ni kubwa kuliko ya kuishi kule keko kidimbwi
CAF ndio mashindano gani mpaka yawe na top scorer acha ujinga wa kukakilishwa akili za ally kamwe utalea watoto wako Kwa tabu,taja mashindano yanayosimamiwa na caf hayo mashindano yapo mengi ndio Yana top scorer .Top scorer ni nani pale mjini CAF??
Subiri msimu wa kugawa tuzoCAF ndio mashindano gani mpaka yawe na top scorer acha ujinga wa kukakilishwa akili za ally kamwe utalea watoto wako Kwa tabu,taja mashindano yanayosimamiwa na caf hayo mashindano yapo mengi ndio Yana top scorer .
Kwaio hayo magoli ya mayele yaliiokoa utopolo kutodrop kwenye ligi ya wakubwa?Swali zuri
Kafuatilie Mayele ana goali ngapi pale club bingwa
Then + plus na magoli ya confederation,.....unaweza pata jibu
Lakini hako kagari kadogo ni Porsche au Lexus Convertible. Taswira inaonyesha walioko kwenye daladala wana wivu dhidi ya wale walioko kwenye hiyo droptop. Ndiyo maana walioko kwenye daladala walikuwa wanawakejeli walioko kwenye Porsche kisa walisikia wameenda kambini Dubai, ni husda na wivu tu wa waswahili 🤣😂🤣Hapana mkuu
Taswira inaonyesha waliokaa juu ....wako na furaha kuliko walikaa kwenye kagari kadogo
Yale aliyowafunga Zalan fc waliokuja bongo kwa mkokoteni wa kuvutwa na punda?Swali zuri
Kafuatilie Mayele ana goali ngapi pale club bingwa
Then + plus na magoli ya confederation,.....unaweza pata jibu
Hizi ngonjera msimu ujao utazitupa kapuni utatafuta excuse ingine maana Mayele anaboreka Kila siku! Klabu bingwa mwakani watamkoma!Mashindano ya CAF yaliochezwa na Yanga na Simba ni klabu Bingwa.
Yanga hawakufika hata makundi
Simba walifika robo fainali.
Haya mashindano ya Shirikisho hayakuchezwa na Simba kwasababu hadhi ya mashindano ni ya chini ukishindwa klabu Bingwa ndio unaenda kidogo kwenye viwango vya chini.
Hivyo Mayele hakuwasaidia Yanga kwenye klabu Bingwa walitolewa mapema sana.
Onesha kiatu cha CAFCC ambacho huyo mayele kapewa? Onesha hata picha nakupa 1million cash.Lkn tumefika final ......na mwamba kabeba kiatu
Unaotaa weweee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado watapewa michuano ya club bingwa kuisha
Tuzo inakua ni goal bora kwa mwaka, na inahusisha CAFCL, CAFCC, had mashindano zinazohusisha nchi.Subiri msimu wa kugawa tuzo
Mbna aliwagonga mojaYale aliyowafunga Zalan fc waliokuja bongo kwa mkokoteni wa kuvutwa na punda?
Baada ya kukutana na wababe aly hilaly alifanya nini? Mbona hatukuona anatikisa manyonyo kwa aly hilaly na ikasababisha mkaangukia kombe la vibonde ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aitoe wapi picha? Hata huyo Mayele mwenyewe anajua kabisa kiatu hatopewa, wanapewa wale wanaoshiriki CL.Alivyo na bahati mbaya sasa hata kiatu cha NBCPL anabeba Godfather wa Bujumbura.Onesha kiatu cha CAFCC ambacho huyo mayele kapewa? Onesha hata picha nakupa 1million cash.
Oneshaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]