Kwanini Saido alishindwa kuwaokoa Simba SC kwenye CAFCL?

Kwanini Saido alishindwa kuwaokoa Simba SC kwenye CAFCL?

Unajua unachoongea? Hizi Ruvuma shooting sijui na Police ni team za kufungwa tu, sio wale wanaume. Ni sawa na Ndada cup.
Best scorer tungemuona Hadi mechi za club bingwa [emoji23][emoji23]
 
Top scorer ni nani pale mjini CAF??
CAF ndio mashindano gani mpaka yawe na top scorer acha ujinga wa kukakilishwa akili za ally kamwe utalea watoto wako Kwa tabu,taja mashindano yanayosimamiwa na caf hayo mashindano yapo mengi ndio Yana top scorer .
 
Simba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.

Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!

Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
 
Subiri msimu wa kugawa tuzo
 
Simba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.

Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!

Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
Yaaah ni Kweli Mzee....sema tu nia yao ilishindikana
 
Swali zuri

Kafuatilie Mayele ana goali ngapi pale club bingwa

Then + plus na magoli ya confederation,.....unaweza pata jibu
Kwaio hayo magoli ya mayele yaliiokoa utopolo kutodrop kwenye ligi ya wakubwa?
 
Hapana mkuu

Taswira inaonyesha waliokaa juu ....wako na furaha kuliko walikaa kwenye kagari kadogo
Lakini hako kagari kadogo ni Porsche au Lexus Convertible. Taswira inaonyesha walioko kwenye daladala wana wivu dhidi ya wale walioko kwenye hiyo droptop. Ndiyo maana walioko kwenye daladala walikuwa wanawakejeli walioko kwenye Porsche kisa walisikia wameenda kambini Dubai, ni husda na wivu tu wa waswahili 🤣😂🤣
 
Swali zuri

Kafuatilie Mayele ana goali ngapi pale club bingwa

Then + plus na magoli ya confederation,.....unaweza pata jibu
Yale aliyowafunga Zalan fc waliokuja bongo kwa mkokoteni wa kuvutwa na punda?

Baada ya kukutana na wababe aly hilaly alifanya nini? Mbona hatukuona anatikisa manyonyo kwa aly hilaly na ikasababisha mkaangukia kombe la vibonde ?
 
Mashindano ya CAF yaliochezwa na Yanga na Simba ni klabu Bingwa.

Yanga hawakufika hata makundi
Simba walifika robo fainali.

Haya mashindano ya Shirikisho hayakuchezwa na Simba kwasababu hadhi ya mashindano ni ya chini ukishindwa klabu Bingwa ndio unaenda kidogo kwenye viwango vya chini.

Hivyo Mayele hakuwasaidia Yanga kwenye klabu Bingwa walitolewa mapema sana.
Hizi ngonjera msimu ujao utazitupa kapuni utatafuta excuse ingine maana Mayele anaboreka Kila siku! Klabu bingwa mwakani watamkoma!
 
Yale aliyowafunga Zalan fc waliokuja bongo kwa mkokoteni wa kuvutwa na punda?

Baada ya kukutana na wababe aly hilaly alifanya nini? Mbona hatukuona anatikisa manyonyo kwa aly hilaly na ikasababisha mkaangukia kombe la vibonde ?
Mbna aliwagonga moja
 
Tuzo inakua ni goal bora kwa mwaka, na inahusisha CAFCL, CAFCC, had mashindano zinazohusisha nchi.

Na ndo alichukua Sakho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha utani basi
 
Onesha kiatu cha CAFCC ambacho huyo mayele kapewa? Onesha hata picha nakupa 1million cash.

Oneshaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aitoe wapi picha? Hata huyo Mayele mwenyewe anajua kabisa kiatu hatopewa, wanapewa wale wanaoshiriki CL.Alivyo na bahati mbaya sasa hata kiatu cha NBCPL anabeba Godfather wa Bujumbura.
 
Back
Top Bottom