Kwanini Serikali iliamua kununua mabasi ya mwendokasi yenye injini za CUMMINS wakati si imara wala madhubuti?

Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS.

Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China...

Mimi si mtaalamu sana kwenye haya mambo, lakini nauliza tu, je hayo mabasi yalitengenezwa nchi gani? Je hizo injini ndizo original zkwa hayo mabasi?
 
Mkuu mimi kwa uelewa wangu Procurement ya serikali inahusu sheria na taratibu, hadi kampuni inapata tenda it means suppplier alikidhi vigezo ikiwemo ku comply na specification zilizotolewa na wahitaji lakini pia aliweka bei ambayo ilikuwa sahihi kwa maana ya kwamba ukiunganisha sasa compliance ya specification na price offered alipatikana akiwa ndiye Lowest Evaluated Bidder kisha akapewa tenda na akatengeneza magari yakaguliwa yakaonekana yamekidhi vigezo then yakakubarika ndo maana tunayaona barabarani.
 
hujasikia majaliwa leo kawavua nguoa hao mwendokasi eti wako ofisini miaka mitano hawajaweza hata kununua basi moja na wanafanya biashara siku zote, hii nchi ina wapigaji bana
 
Nimeshaona engines za CUMMINGS kwenye minara ya simu, hasa airtel, ziliondolewa zote... maana zilileta shida sana... Kuna moja kubwa ilikuwa pale kijitonyama (sayansi jengo la TTCL enzi celtel wapo pale... ni balaa
 
Kuna 10% na ndo inauwa vyote hivyo ulivyovisema
 
Nimeshaona engines za CUMMINGS kwenye minara ya simu, hasa airtel, ziliondolewa zote... maana zilileta shida sana... Kuna moja kubwa ilikuwa pale kijitonyama (sayansi jengo la TTCL enzi celtel wapo pale... ni balaa
Cummins siyo shida kama ni genuine lakini ikiharibika haitaki ubabaishaji inataka fundi mwenye real know-how ya engine hiyo.
Lakini bado kuna replacement ya parts,genuine ni aghali, ndipo kunakuja kishawishi cha kununua fake parts.Na inawezekana hao UDA wamekuwa wananunua hayo mafake spare parts.
 
10%
 
Nchi inaongozwa na wajinga
 
Zinakua zina-cum kila wakati ndio maana zikaitwa Cummings?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…