Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Swai umepiga cha Arusha chini?Mwigulu for presidency 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swai umepiga cha Arusha chini?Mwigulu for presidency 2025
Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS.
Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China...
Ukute hao walioagiza hawajui hata ni injini gan.....hapo unapowaambia ni cummins wanaona unawachanganya tu!
Hivi yalikua mangapi jumla?Magari hayana hata miaka mitano, tayari yameshakufa 50
Wanasema 240Hivi yalikua mangapi jumla?
Nimeshaona engines za CUMMINGS kwenye minara ya simu, hasa airtel, ziliondolewa zote... maana zilileta shida sana... Kuna moja kubwa ilikuwa pale kijitonyama (sayansi jengo la TTCL enzi celtel wapo pale... ni balaaCummins ni engine ya kimarekani ni engine inayotumika sana kwenye shughuli mbali mbali huko Marekani na kwingineko .Lakini Engine katika mabasi ya mwendokasi ni CUMMINS made in China,hatujui kama genuine au fake engine.
Engine nazo zina maintenance procedures, Planned Maintenance, Aina ya mafuta na oil kama ni compatible, usafi, ujuzi n.k
Kuna 10% na ndo inauwa vyote hivyo ulivyovisemaMkuu mimi kwa uelewa wangu Procurement ya serikali inahusu sheria na taratibu, hadi kampuni inapata tenda it means suppplier alikidhi vigezo ikiwemo ku comply na specification zilizotolewa na wahitaji lakini pia aliweka bei ambayo ilikuwa sahihi kwa maana ya kwamba ukiunganisha sasa compliance ya specification na price offered alipatikana akiwa ndiye Lowest Evaluated Bidder kisha akapewa tenda na akatengeneza magari yakaguliwa yakaonekana yamekidhi vigezo then yakakubarika ndo maana tunayaona barabarani.
Sababu za kufa kwa mwendokasi zimechangiwa na jiwe.Magari hayana hata miaka mitano, tayari yameshakufa 50
Baba wa ubadhirifuSababu za kufa kwa mwendokasi zimechangiwa na jiwe.
Cummins siyo shida kama ni genuine lakini ikiharibika haitaki ubabaishaji inataka fundi mwenye real know-how ya engine hiyo.Nimeshaona engines za CUMMINGS kwenye minara ya simu, hasa airtel, ziliondolewa zote... maana zilileta shida sana... Kuna moja kubwa ilikuwa pale kijitonyama (sayansi jengo la TTCL enzi celtel wapo pale... ni balaa
Wameuziwa bodi tuu hakuna magari hapo hata Waziri Mkuu angeyasimamia yeye hayo yaliopo kichwa kingemuuma...weka Man diesel,Scania,Benz au Volvo hapo waachane na hayo yasioeleweka harafu wamenunua bei kubwa hayo hayo ya uongo..Magari hayana hata miaka mitano, tayari yameshakufa 50
10%Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS.
Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China.
Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo anzia na T000A-- au B, na ukiiona itakuwa imefungwa engine ya Scania.
Je, ni kitu gani kilipelekea serikali kufanya hii procurement?
Je, kuna watu Wana maslahi binafsi na supplier ili kila baada ya muda Fulani waagize tena mabasi?
Je, hatukuwa na hela ya kutosha kununua mabasi imara?
Nchi inaongozwa na wajingaMabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS.
Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China.
Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo anzia na T000A-- au B, na ukiiona itakuwa imefungwa engine ya Scania.
Je, ni kitu gani kilipelekea serikali kufanya hii procurement?
Je, kuna watu Wana maslahi binafsi na supplier ili kila baada ya muda Fulani waagize tena mabasi?
Je, hatukuwa na hela ya kutosha kununua mabasi imara?
Zinakua zina-cum kila wakati ndio maana zikaitwa Cummings?Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS.