Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?

Serikali imeanza kuvuliwa nguo Kupitia uandaaji wa affidavit kitu ambacho watu makini walipaswa kukiona; tumeanza kuonekana Mawakili wa Jamhuri awaelewi .
Wengi tulijua serikali itakuwa imejifunza kitu kutoka ktk kesi ya Mbowe, cha ajabu imerudi ktk uchafu uleule!
Ni mambo ya aibu na upuuzi kutumia pesa za walipa kodi kwa mambo ya binafsi na ujinga usio na kipimo!
 
nawaza enzi za chama kimoja... kwa TZ bado swala la vyama vingi ni kizungumkuti, itatuchukua muda sana kusogeaaa
Mkuu ndiyo maana wahindi na waarabu wanapiga Sana pesa kwa sababu ya kuwa na maviongozi majinga jinga
 
Kwa hiyo unamaanisha akina Kibatala pia walienda kuiomba mahakama isiwaondolee ubunge wao? vichwani mmejaa ug.oro tupu.
Umesoma vyema mada au unaendeleza tabia yako ya kukurupuka kama uharo!
Uwe unasoma na kuelewa ndugu, au kaa kimya kuficha ujinga!
 
Mnatolewa kwenye mstari wa katiba mpya, na upandaji wa gharama za maisha...
 
Hakuna wakili wa serikali anatetea mtu binafsi.

Sheria inataka serikali ikishitakiwa AG awe part ya kesi.

NEC imeshitakiwa hivyo mawakili wa serikali lazima wawepo.
Hivi unatumia akili au makalio kufikiri kwenye kesi ya kina mdee serikali imeshtakiwa na nani?
 
Hii inadhihilisha kuwa mpango wa kuwapa akina Halima ubunge wa viti maalumu uliasisiwa na serikali.
 
Kwanza
Ni mileage siyo mailage (wewe shomile Bw mtani wangu)

Pili
Kupanga ni kuchagua

Ni kweli kwa sbb Mbowe ni mtoto wa Nyerere kwa ubatizo na mzee Mbowe alikuwa mwandani wa Mwl. Mzee Mbowe aliwekeza vya kutosha kujenga TANU/CCM km ilivyokuwa akina Bomani, Dosa Aziz, Sykes, Rupia, Tabith Kombo, Aziz Ali, Amri Abeid nk.

Chadema kufa kbs ni ngumu ila tu kinaweza kudhoofu. Kwa account hiyo hapo juu ujuwe kuwa wewe ukiwa mfuasi wa Chadena basi ni mfuasi wa CCM kupitia agano la familia ya mzee Mbowe na ile ya Mwl.

Hivyo ndivyo siasa zinavyoendeshwa duniani.

Zitto amethibitisha ukweli huu, Chacha Wangwe amethibitisha, Kitila Mkumbo amethibitisha, Mashinji amethibitisha, Slaa amethibitisha, Bob Makani alijuwa, Kubenea amethibitisha, Mdee et al sasa nao wamethibitisha km wenzao hao.

Ukiwa CCM wewe ni Chadema pia, ukiwa Chadema wewe ni CCM pia.

Hivyo State Attorneys kutetea Mdee et al ni sawa na kutetea CCM tu.

Labda ungeshangaa kwanini CCM haikutumia State Attorneys kuwatetea wanachama 29 waliofukuzwa na CCM Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu uchaguzi 2015 (ije iwatetee wanachama wa Chadema?!)
 
Hakuna wakili wa serikali anatetea mtu binafsi.

Sheria inataka serikali ikishitakiwa AG awe part ya kesi.

NEC imeshitakiwa hivyo mawakili wa serikali lazima wawepo.
Ndiyo wanaharakati wa CHADEMA hao- papara kichemi weupe wamejaza matusi tu
 
Mzee mbowe aliwekeza nii TANU/CCM
Ebu nionyesha chote cha Mbowe Dar es Salaam
 
Ukiachana na siasa chafu , za kishamba na za kipumbavu zinazosimamiwa na viongozi wa ccm, Tanzania ni moja ya nchi Tajiri sana. Kama focus ingewekwa kwenye utumiaji wa rasilimali tulizonazo kwa maendeleo ya taifa letu.
 
Bado hawaamini kuwa magu amekwenda na maji.
Ha ha ha; anaweza akarudi mkuu kikawa kizazaaa ..wale wabua moshi ati dawa ya Corona na wale zakee wa nyungu tutawakomaje..
 

hao covid wamefukuzwa uanachama na siyo ubunge embu kuwa na akili .
lini chadema walikaa kuwafuta ubunge hao watu
 
Umesoma hati ya mashitaka?
 
Wewe ndie hujui wamefukuzwa uanachama sababu NEC ilipeleka majina yao bungeni

Kuwa NEC ndio iliyosababisha wafukuzwe
 
Wewe ndie hujui wamefukuzwa uanachama sababu NEC ilipeleka majina yao bungeni

Kuwa NEC ndio iliyosababisha wafukuzwe
wamefukuzwa uanachama katakana na utovu wao wa nidhamu.
haiwezekani upewe maelezo na viongozi wako halafu ugome kuyatekeleza.
ukweli ni kwamba wamefukuzwa anachama kwa utovu wa nidhamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…