Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Ndo ujue:-
Halima na genge lake, spika, serikali, ccm.. lao moja
Na tetesi za kutaka kumhusisha Mbowe kama mshirika wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ujue:-
Halima na genge lake, spika, serikali, ccm.. lao moja
Ukiambiwa urais ni taasisi uelewe.Ilitolewa na nani?
Mashauri yoyote yanoihusu serikali, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni mshtakiwa, hivyo hao wanasheria wa serikali wako hapo kulitetea Bunge na NEC na sio kuwatetea kina Halima Mdee.Nimeshangaa kuona mawakili wa serikali ndiyo wanaowawakilisha na kuwatetea Cov 19 kwenye kesi yao binafsi. Hii imekaaje. Huko nyuma kuna wabunge wa CUF walitimuliwa na chama Chao lakini hatukuona serikali na mwanasheria mkuu akijiingiza. Hivi hapa serikali imeingiaje kwenye hii kesi ambayo imefunguliwa na Cov 19. Binafsi ningeelewa kama Chadema ndiyo wangekuwa wamefungua hiyo kesi... Probably, Mwanasheria mkuu angeingia kutetea Bunge na Mahera.
Wanasheria tusaidieni Pascal Mayalla
Sababu ni moja tuu kwakuwa hii kesi ina mahusiano na CHADEMA chama bora cha siasa kuwahi kutokea TanganyikaNimeshangaa kuona mawakili wa serikali ndiyo wanaowawakilisha na kuwatetea Cov 19 kwenye kesi yao binafsi. Hii imekaaje. Huko nyuma kuna wabunge wa CUF walitimuliwa na chama Chao lakini hatukuona serikali na mwanasheria mkuu akijiingiza. Hivi hapa serikali imeingiaje kwenye hii kesi ambayo imefunguliwa na Cov 19. Binafsi ningeelewa kama Chadema ndiyo wangekuwa wamefungua hiyo kesi... Probably, Mwanasheria mkuu angeingia kutetea Bunge na Mahera.
Wanasheria tusaidieni Pascal Mayalla
Akina mdee ni walikuwa wanachadema na wamefukuzwa na chama chao mawakili wa serikali wanahusika vipi hapo ndio swali la mtoa madaMashauri yoyote yanoihusu serikali, Mwanasheria Mkuu ni mshtakiwa hivyo hao wanasheria wa serikali wako hapo kulitetea Bunge na NEC na sio kina Halima Mdee.
Ila kwenye kesi za jinai zenye hukumu ya capital punishment (kifo), kama uhaini na muder, mshitakiwa hata kama huna uwezo wa kuajiri wakili, serikali inakuwekea wakili wa kukutetea na serikali itaajiri mawakili binafsi na serikali ndio itawalipia.
P
K.m mtaaluma wa habari ingependeza zaidi , ungetoa ufafanuzi uliokamilika , kwa kuhusisha aliyefungua kesi , na kesi inahusu nini , na kutokana na sheria ilivyo, ingetufumbua macho na wengine tusio jua sheria , na kama mwandishi mlei unamwelewesha zaidiMashauri yoyote yanoihusu serikali, Mwanasheria Mkuu ni mshtakiwa hivyo hao wanasheria wa serikali wako hapo kulitetea Bunge na NEC na sio kina Halima Mdee.
Ila kwenye kesi za jinai zenye hukumu ya capital punishment (kifo), kama uhaini na muder, mshitakiwa hata kama huna uwezo wa kuajiri wakili, serikali inakuwekea wakili wa kukutetea na serikali itaajiri mawakili binafsi na serikali ndio itawalipia.
P
Wanaowatetea Ni Hawa hapo chini. Hao mawakili wa serikali Ni wepi?
Fanya research vizr.
View attachment 2229721
Soma tena hapa Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?Akina mdee ni walikuwa wanachadema na wamefukuzwa na chama chao mawakili wa serikali wanahusika vipi hapo ndio swali la mtoa mada
Tanzania siyo Dar es Salaam tu. Nyerere yeye ana nini Dsm? Je, wazee Lazaro Bomani, Amri Abeid, John Rupia, Thabit Kombo wana nini Dar es Salaam? Ni vivyo hivyo kwa mzee Aikaeli Mbowe.Mzee mbowe aliwekeza nii TANU/CCM
Ebu nionyesha chote cha Mbowe Dar es Salaam
Asante kwa majibu yako. Lakini kwenye hii kesi sioni kama serikali inahusika. Can you please explain uhusika wa serikali kwenye hii kesi.Mashauri yoyote yanoihusu serikali, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni mshtakiwa, hivyo hao wanasheria wa serikali wako hapo kulitetea Bunge na NEC na sio kuwatetea kina Halima Mdee.
Ila kwenye kesi za jinai zenye hukumu ya kifo, (capital punishment), kama uhaini na muder, mshitakiwa hata kama huna uwezo wa kuajiri wakili, serikali inakuwekea wakili wa kukutetea Kwa kuaajiri mawakili binafsi kukutea ambao watalipwa na serikali.
P
Yaani wewe hujui tofauti ya AG na DPP?Huyo AG ukiambiwa kashfa zake utakufa huku unajiona , uliza hela za wahujumu uchumi waliodaiwa kukiri makosa zilikoenda .
NEC? hii si committee ya CCM, lini serikali imeanza kutetea vyama?Soma tena hapa Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?
Hao mawakili wa Serikali, wako kwaajili ya Bunge na NEC na sio kwa ajili ya kina Mdee.
P
Swali la msingi ni jinsi gani Bunge na Mahera wanahusushwa kwenye hii kesi? Probably, I am naive but I doesn't add up...!! Tu Naomba ufafanuzi sisi laymen.Soma tena hapa Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?
Hao mawakili wa Serikali, wako kwaajili ya Bunge na NEC na sio kwa ajili ya kina Mdee.
P
Hiyo plea bargain ilikuwa inafanyika kwa DPP sio AGHuyo AG ukiambiwa kashfa zake utakufa huku unajiona , uliza hela za wahujumu uchumi waliodaiwa kukiri makosa zilikoenda .
Mkuu Kong Chi , NEC hii sio National Executive Committee ya CCM ni National Electoral Commission of Tanzania.NEC? hii si committee ya CCM, lini serikali imeanza kutetea vyama?