Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?

Hakuna wakili wa serikali anatetea mtu binafsi.

Sheria inataka serikali ikishitakiwa AG awe part ya kesi.

NEC imeshitakiwa hivyo mawakili wa serikali lazima wawepo.
Nani ameishtaki NEC?
 
Wakati huo DPP alikuwa nani na AG wa sasa ni nani ?
DPP alikuwa bwana Biswalo Mganga ambaye ametolewa na kupewa ujaji maana imebidi kumficha tu alikuwa anatumika kwa udhalimu wa Meko na AG alikuwa Dr Adelardus Kilangi ambae amekuwa balozi kwa sasa. Ila huyu DPP alikuwa mwanaharamu kwelikweli under Meko rule hakuwaga na mzaha huyu mshenzi na hela nyingi sana ameiba maana zile pesa walikuwa wakilipa hazikuwekwa kwenye account yeyote ya DPP au ya Mahakama au serikalini mpaka hata CAG aliwahi kuongelea hii ishu.
 
Kwanini wananchi tusimkamate huyu kwa umoja wetu na kumnyang'anya Mali hiyo ya wizi?
Kama yupo hapa hapa nchini, waandishi watuonyeshe, kwani anaulinzi gani?
 
Hakuna wakili wa serikali anatetea mtu binafsi.

Sheria inataka serikali ikishitakiwa AG awe part ya kesi.

NEC imeshitakiwa hivyo mawakili wa serikali lazima wawepo.
Naomba nielimishwe: Mdee na wenzake wameishtaki Chadema na Bodi ya Wadhamini ya Chadema kwa kuwafuta uanachama. NEC inaingizwaje pia kama mshitakiwa No.3?
 
Mbona Halima kwenda Mahakamani imewasumbua sana wana Chadema?

Kwani serikali ikichafuka si ndio ahueni kwenu upinzani au?

Tunataka kujua kupitia Mahakamani kwamba ni nani alihusika na nyaraka za kina Mdee!

Tatizo lenu ni nini Chadema?
 
Huyo AG ukiambiwa kashfa zake utakufa huku unajiona , uliza hela za wahujumu uchumi waliodaiwa kukiri makosa zilikoenda .
Hatutaki kuambiwa bali peleka Mahakamani kama unazijua na evidence zipo

Acheni kuweweseka huku JF.

Chadema pambaneni na wahuni mlioshiriki kuwafundisha UHUNI.
 
Naomba nielimishwe: Mdee na wenzake wameishtaki Chadema na Bodi ya Wadhamini ya Chadema kwa kuwafuta uanachama. NEC inaingizwaje pia kama mshitakiwa No.3?
NEC ndio anapeleka majina ya wabunge wataule bungeni.

Hivyo yeye yupo kwenye nafasi nzuri ya kueleza hao walipatikanaje.

Kwa maana nyaraka zote za uteuzi alipelekewa yeye.

Na pia kama kuna makosa hukumu ikitoka yeye ndio anatakiwa kuwaondoa.

Yeye ni kiungo muhimu kati ya vyama na Bunge.

Hivyo ni muhimu kuwepo kwenye kesi hii.
 
Kwanini wananchi tusimkamate huyu kwa umoja wetu na kumnyang'anya Mali hiyo ya wizi?
Kama yupo hapa hapa nchini, waandishi watuonyeshe, kwani anaulinzi gani?
Ameshapewa ujaji aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…