Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !

Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!

mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!

Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.

Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.

Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,

Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.

Tunahitaji ukweli Sasa!
Ni kazi ngumu sana kukanusha "uvumi" wa UKWELI. Hii inahitaji akili na mahesabu ya hali ya juu sana ikizingatiwa kila mtu serikalini ameshachoka kuumbuka sasa huku vyombo vya kimataifa vikiwa vimeanza kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru BBC habari ya Saa 3 wameonesha hofu Kama yangu ....kitaeleweka tu!
 
Ni kazi ngumu sana kukanusha "uvumi" wa UKWELI. Hii inahitaji akili na mahesabu ya hali ya juu sana ikizingatiwa kila mtu serikalini ameshachoka kuumbuka sasa huku vyombo vya kimataifa vikiwa vimeanza kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hali hii bila Shaka inakwenda kuleta Tanzania mpya!Lakini mapito yake Ni makubwa!
 
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !

Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!

mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!

Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.

Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.

Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,

Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.

Tunahitaji ukweli Sasa!
Kama unahisi kupewa taarifa si haki yako, ni dhahiri unasurubishwa na adui ujinga. Pole!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nitatuma malaika aifunge mitandao yote turudi enzi za ujima za mwalimu yeye tu anaangalia tv then akija kwa wananchi atasema kaona maono
Kwa haya yanayoendelea kuna watu wanatamani hii mitandao ingezimwa kabisa au ingekuwepo kabisa.

Kwel dunia ya sasa sio sawa na mwaka 1900

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeacha kuumiza kichwa kwamba serikali ije kutoa ufafanuzi hapa. Kama taarifa hizo si za Kweli basi serikali ingekuwa imesha zikanusha.
 
Mimi nitatuma malaika aifunge mitandao yote turudi enzi za ujima za mwalimu yeye tu anaangalia tv then akija kwa wananchi atasema kaona maono

Sent using Jamii Forums mobile app
Completely out of place.
Hata sijui kwa nini umefikiwa na fikra pungufu kiasi hicho.
Unao uelewa wa kuhoji uwezo wa kiakili/maono aliokuwa nao Mwalimu Nyerere?
 
Without ki.gogo tungedanganywa sana hadi tuje kujua hali imekua mbaya kabisa ni pale unatoka nje ya nyumba unakuta miili ya kutosha na mda huo wakuu wameshajifungia wanapanga mikakati ya kuzaliana wao kwa wao wajenge taifa jipya
 
Angalia Zama za mwalimu na Sasa dunia imepitia changes nyingi mfano nchini mwetu watu walikuwa hawaruhusiwi kuwa na tv, radio moja kila taarifa zinazotolewa za mrengo flani utalinganisha na kipindi hichi Cha globalization kweli?
Pia kuhoji kitu si dhambi dunia hii watu wasingehoji na kwenda beyond tusingefikia hapa kitechnology, science na kiuchumi.
Completely out of place.
Hata sijui kwa nini umefikiwa na fikra pungufu kiasi hicho.
Unao uelewa wa kuhoji uwezo wa kiakili/maono aliokuwa nao Mwalimu Nyerere?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa za miongozi ya afya zimekuwa hadimu.Watu wanapeana taarifa vijiweni.
 
Sasa Raisi aachie ugonjwa uingie nchini uanze kuuwa watu halafu unasema sisi tunaombea...jamani tunapoambiwa sisi waafrika tuna 40IQ msiwe mnakataa
Anayekwenda baa akijua matokeo yake ni ulevi akapoteza uwezo wa kuzingatia ushauri dhidi ya maambukizi, alaumiwe Rais? Akili hiyo.

Yule asiyevaa barakoa na yuko kwenye mkusanyiko wa watu, akiambukiza au kuambukizwa, ilaumiwe Serikali? Akili gani?

Wewe unayetaka watangazwe waliokufa wakati hawapo, unataka nini hasa? Kwani binadamu akifa anazikwa kama mnyama, bila ndugu, jirani au marafiki?

Hao waliokufa wataje?

Akili za kuambiwa changanya na zako!
 
Dah....Mkuu ilikwisha semwa...huu ugonjwa ni suala binafsi...vikao viitishwe kwenye ngazi ya familia...waamue kama wanataka kufa kwa Covid19 au la...ni uamuzi wao.... Biashara ya kuchapana viboko Tz haipo...Elimu na mbinu za kujilinda imetolewa...Kama ilivyo kwa HIV tu....Sasa wanataka Raisi afanye nini sijui ...

Sent using Beretta ARX160
 
Back
Top Bottom