Kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa dhidi ya Tundu Lissu?

Kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa dhidi ya Tundu Lissu?

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
18,969
Reaction score
27,446
Binafsi sio mshabiki wa Chadema Wala Chama chochote cha kisiasa ila nimekuwa nikijiuliza hili swali Ebu jaribu kuondoa ushabiki wa kisiasa tuuvae ubinadamu jamaa kapitia changamoto kubwa sana imagine kapigwa risasi kumi na 6 na zote zimeingia mwilini tena eneo kapigiwa ni la wazi lakini cha ajabu kapona mpaka Leo hakuna report yoyote tumeletewa wahusika ni kina nani.

Tukio limefuata kafunguliwa kesi ya uhaini, Uhaini maana yake nikufanya njama za kupindua serikali inayoongoza na hii kesi haina dhamana tofauti na kesi ya uchochezi ambayo ina dhamana mfano kuchochea vurugu. Hivi tuwe waungwana na tuweke ushabiki pembeni Tundu Lissu ana nguvu gani ya kupindua Serikali kama kesi yake ilivyo? Sawa watu wanaweza kutofautiana kisiasa lakini isiwe room ya kumuumiza mwenzako kisa madaraka au Cheo Jamaa ana familia ni mwaka umepita watoto wake hawamuoni Baba yao hivi kweli ndio tumefikia kufanya unyama wa kiasi hichi? Haya tufanye mmemshitaki kwa kosa kwanini Sasa mnatumia nguvu kubwa kwake kwanini hii nguvu isitumike na kwenye mambo mengine?
 
INGEKUWA VIPI LISSU ANGEKUWA SERIKALINI ? JE MBOWE ANGESALIMIKA ? INGEKUWA VIPI ? NAWAZA MAMBO KWA KINA NA BADO MAJIBU SINA , INGEKUWA VIPI LISSU ANGEKUWA MBUNGE WA KIGAMBONI , JE YERRIKO ASINGEHAMISHIKA ? INGEKUWA VIPI ?
 
Binafsi sio mshabiki wa Chadema Wala Chama chochote cha kisiasa ila nimekuwa nikijiuliza hili swali Ebu jaribu kuondoa ushabiki wa kisiasa tuuvae ubinadamu jamaa kapitia changamoto kubwa sana imagine kapigwa risasi kumi na 6 na zote zimeingia mwilini tena eneo kapigiwa ni la wazi lakini cha ajabu kapona mpaka Leo hakuna report yoyote tumeletewa wahusika ni kina nani.

Tukio limefuata kafunguliwa kesi ya uhaini, Uhaini maana yake nikufanya nyama za kupindua serikali inayoongoza na hii kesi haina dhamana tofauti na kesi ya uchochezi ambayo ina dhamana mfano kuchochea vurugu. Hivi tuwe waungwana na tuweke ushabiki pembeni Tundu Lissu ana nguvu gani ya kupindua Serikali kama kesi yake ilivyo? Sawa watu wanaweza kutofautiana kisiasa lakini isiwe room ya kumuumiza mwenzako kisa madaraka au Cheo Jamaa ana familia ni mwaka umepita watoto wake hawamuoni Baba yao hivi kweli ndio tumefikia kufanya unyama wa kiasi hichi? Haya tufanye mmemshitaki kwa kosa kwanini Sasa mnatumia nguvu kubwa kwake kwanini hii nguvu isitumike na kwenye mambo mengine?
Serikali inatumia nguvu kubwa...ni kwa sababu LISSU HANUNULIKI!

Hakuna sababu zaidi ya hiyo!
Lissu hana price tag!
 
Serikali ya hawamu ya sita ni sikivu na inaeshimu utawala wa Sheria, huyu Lissu unaemuonea huruma leo ambae kimsingi ndie chanzo namba 1 cha mauaji Oct 29, ingekuwa hawamu ya Tano , hata apo mahakamani usingemuona anazungusha ngumi yake juu. Mama Samia anastaili pongezi nyingi sana.
 
Ukitamka tu jina la huyo kilaza wa zenj umeharibu, hustahili tena kusikilizwa!.
Huna akili, mtu mwenye akili hawezi kukubali kuwa chawa wa kilaza
 
Back
Top Bottom