Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini Serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu.
Dawa za malaria, antibiotic, drip zote, chanjo za watoto kama ni kweli tusitumie pesa nyingi hivi kwa dawa. Badala yake tu sali tu na kutumia miti shamba kama wengine wanavyotaka.
Halafu tuangalie baada ya miaka 10 kama tutakuwa tumeongezeka au kupungua. Watoto wetu badala ya chanjo za ukoma mfano tuwape nyungu tuone itakuwaje!