Kwanini Serikali inatumia Tsh Billion 200 kununua dawa za “Mabeberu” kila mwaka?

Kwanini Serikali inatumia Tsh Billion 200 kununua dawa za “Mabeberu” kila mwaka?

😂😂, Nenda directly siyo upinde, tutanunua hzo dawa ila chanjo zao saiz noo, mbona wao wanazo ila bado wanakufa🤔🤔, afu siyo kwamb kisa tunanunua hzo ndo wakigundua hata mav nayo tusombe tuu, we have to reson first, afu unajua Watz 60 milioni itagarim kias gan?

Nani kafa baada ya kupata chanjo ya korona? Nipe mtu mmoja tu. Je wangapi wamekufa na Korona ? Wewe pima. Tatizo la chanjo ni kwamba utengenezaji ni mdogo bado sio kutokamini njanjo maana makampuni ni hayo hayo. Asprin iligundulika wakati wa hitler lakini tunaitumia. Ndugu yangu inawezekana wewe ni kilaza lakini wasomi wanajua kwamba kinsayansi binadamu ni sawa hivyo kuweka ubaguzi ni kuonyesha ujinga wa mtu .
 
Wanatudharau kwa ambacho sisi hatuna ila sisi tunawaheshimu kwa ambacho hawana😐😐
Kweli watuache tuu sisi maskini na mali zetu na corona yetu, wabaki na vaccine zao🤣🤣🤣
Yaaaani wamekazana kutulazimisha mahuduma yao hadi tunashindwa kuwaelewaa. Haaaaaa haaaaaaa.
 
Hayo madini mlishawapa bure miaka mingi iliyopita now wametulia tu, sasa nyie ndio mnahangaika na mikataba mibovu mliyo saini nao wenyewe.
Kwanini haondugu zenu wanatulazimisha hayo machanjoo?? Na kwa nini hizo chokochoko zimeanza tuuu baaada ya sisi kutaka faida ya mali zetuuu???
 
Nani kafa baada ya kupata chanjo ya korona? Nipe mtu mmoja tu. Je wangapi wamekufa na Korona ? Wewe pima. Tatizo la chanjo ni kwamba utengenezaji ni mdogo bado sio kutokamini njanjo maana makampuni ni hayo hayo. Asprin iligundulika wakati wa hitler lakini tunaitumia. Ndugu yangu inawezekana wewe ni kilaza lakini wasomi wanajua kwamba kinsayansi binadamu ni sawa hivyo kuweka ubaguzi ni kuonyesha ujinga wa mtu .
Usiumie historia kihivo though unasema mm kilaza😂😂, kujua history ya asprin maybe unakumbukumbu but uwezo wa kudadavua bado sanaaa,
 
Nani kafa baada ya kupata chanjo ya korona? Nipe mtu mmoja tu. Je wangapi wamekufa na Korona ? Wewe pima. Tatizo la chanjo ni kwamba utengenezaji ni mdogo bado sio kutokamini njanjo maana makampuni ni hayo hayo. Asprin iligundulika wakati wa hitler lakini tunaitumia. Ndugu yangu inawezekana wewe ni kilaza lakini wasomi wanajua kwamba kinsayansi binadamu ni sawa hivyo kuweka ubaguzi ni kuonyesha ujinga wa mtu .
Mambo mengine n vya kiinteligencia, usihis vtu vyote lazm vifike kwa keyboard worriors 😂😂
 
Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Dawa za malaria, antibiotic, drip zote, chanjo za watoto kama ni kweli tusitumie pesa nyingi hivi kwa dawa. Badala yake tu sali tu na kutumia miti shamba kama wengine wanavyotaka. Halafu tuangalie baada ya miaka 10 kama tutakuwa tumeongezeka au kupungua. Watoto wetu badala ya chanjo za ukoma mfano tuwape nyungu tuone itakuwaje!
Mkuu kwenye issue ya ukoma walipukutika kishenzi vidole walikuwa wanaamini ni kurogwa na walitumia miti shamba hazikuwasaidia...walikuja kuokolewa wengi na mabeberu wa kimisionary walikuwa wanawaokota wametengwa na ndugu zao na kuwatengenezea makambi kuwapa dawa za kukausha vidonda sababu walikuwa wameathirika zaidi.. lakini vizazi vyao ambavyo waliokuwa wanazaliwa au hawakupitia hiyo stage ya kukatika viungo walipewa dawa fulani wao walikuwa wanaita ugobya.. zinatolewa bure na za tb. Watu wengi wanapata dalili za ukoma kwa kutoka mabarango fulani mwilini unakwenda hospital unapata dozi bure.. naungana na wewe dawa nyingi sana tunawategemea...Ugua ukimwi, Tb, ukoma haya ni baadhi alafu kula mitishamba uone cha moto utatembea huna vidole nywele zinapepea naa upepo na macho yamedumbukia ndani tutarudi kule kule enzi zile moto wanaita dada juliana. Wala hakutakuwa na muda wa kufanya maendeleo wala anayepiga kelele kwenye maiki wengi tutakuwa tunakohoa kuharisha na kujinyea nadhani na mifuko ya rambo itarudi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Magufuli kanishangaza jana. Yeye ni mwana sayansi angetakiwa kujua sikuhizi kuna chanjo ya kifua kikuu na hata tetekuwanga. Hili ni tatizo la wanasayansi wengi kwetu vyeti wameweka mifukoni hawasomi tena wala kuandika 😂
 
Kwanini haondugu zenu wanatulazimisha hayo machanjoo?? Na kwa nini hizo chokochoko zimeanza tuuu baaada ya sisi kutaka faida ya mali zetuuu???
Hamna tofauti kabisa na wafuasi wa Trump! Kila ujinga mnao ambiwa, mnaufuata tu pasipo kuhoji au kujiuliza!
Leo hii unaziponda chanjo!!

Unataka kuniambia tangu ulipozaliwa mpaka huo umri ulio nao, hujawahi kupata chanjo yoyote ile? Kwa nini mnajitoa ufahamu kwa kiasi hiki? Wazungu wawaue nyinyi kwa lipi?

Kama ni mali asili zenu mpaka kesho wanaendelea tu kuzisomba! Kuanzia madini, gesi asilia, na juzi tu vinyonga wenu wamekamatwa kule Austria!! Acheni mambo yenu ya kutufanya Watanzania wote ni mazezeta kwa sababu ya hizo PhD zenu za kukariri.
 
Kumbe matusi ndo maazimio ya kiochenu mlichojifungia huko Zanzibar ?? Ufipani mtabadilika lini?
 
Magufuli kanishangaza jana. Yeye ni mwana sayansi angetakiwa kujua sikuhizi kuna chanjo ya kifua kikuu na hata tetekuwanga. Hili ni tatizo la wanasayansi wengi kwetu vyeti wameweka mifukoni hawasomi tena wala kuandika 😂
Watu wanasoma ili wawe na status na sio kuajili ya kutumia elimu kwa manufaa ya jamii

Kuna jamaa nilikua nasoma nae lengo lake ni amalize PhD ili jina lake lianze na dr
 
[emoji23][emoji23], Nenda directly siyo upinde, tutanunua hzo dawa ila chanjo zao saiz noo, mbona wao wanazo ila bado wanakufa[emoji848][emoji848], afu siyo kwamb kisa tunanunua hzo ndo wakigundua hata mav nayo tusombe tuu, we have to reson first, afu unajua Watz 60 milioni itagarim kias gan?
Kwani chanjo au dawa inazuia kifo mkuu.
 
[emoji23][emoji23], Nenda directly siyo upinde, tutanunua hzo dawa ila chanjo zao saiz noo, mbona wao wanazo ila bado wanakufa[emoji848][emoji848], afu siyo kwamb kisa tunanunua hzo ndo wakigundua hata mav nayo tusombe tuu, we have to reson first, afu unajua Watz 60 milioni itagarim kias gan?
Duh kwa kweli kazi sana
 
Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini Serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu.

Dawa za malaria, antibiotic, drip zote, chanjo za watoto kama ni kweli tusitumie pesa nyingi hivi kwa dawa. Badala yake tu sali tu na kutumia miti shamba kama wengine wanavyotaka.

Halafu tuangalie baada ya miaka 10 kama tutakuwa tumeongezeka au kupungua. Watoto wetu badala ya chanjo za ukoma mfano tuwape nyungu tuone itakuwaje!
Hizi kauli za "mabeberu" ni propaganda za kisiasa za viongozi wa Kiafrika walioshindwa kufanya kazi zao tu.

Waafrika wengi, hususan Watanzania, kiongozi wa kisiasa akishindwa kuwaletea maendeleo na kutatua matatizo yao, kimbilio lake ni kuleta figisu na mabeberu.

Raia wa nchi za Kiafrika wengi wanaingia kwenye huu mtego wa uzalendo na wanamfuata kiongozi kama nyumbu.

Wewe hushangai kiongozi anadhihaki chanjo za mabeberu wakati gari anayotumia imetengenezwa na hao hao, simu anayotumia imetengenezwa na hao hao, dawa anazotumia zimetengenezwa na hao hao, mpaka mic anayotumia kuwakashifu imetengenezwa nao.

Na wananchi karibu wote wanavaa mitumba. Madawa ya kusafishia maji yanatoka kwa hao hao mabeberu etc.

Upumbavu mtupu.
 
Back
Top Bottom