Kwanini Serikali inatumia Tsh Billion 200 kununua dawa za “Mabeberu” kila mwaka?

Kwanini Serikali inatumia Tsh Billion 200 kununua dawa za “Mabeberu” kila mwaka?

Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini Serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu.

Dawa za malaria, antibiotic, drip zote, chanjo za watoto kama ni kweli tusitumie pesa nyingi hivi kwa dawa. Badala yake tu sali tu na kutumia miti shamba kama wengine wanavyotaka.

Halafu tuangalie baada ya miaka 10 kama tutakuwa tumeongezeka au kupungua. Watoto wetu badala ya chanjo za ukoma mfano tuwape nyungu tuone itakuwaje!
Tangu lini wameshanunua dawa za billion 200? Mi kweli wananunua dawa kwa mabeberu, lakini haifikii thamani hiyo kwa mwaka, labda kwa miaka mitatu
 
Mkuu tunafanya hivyo kwa sababu tuna famasia ambao ni vilaza hata panadol hawajui kutengeneza. Wao elimu yao walienda kusoma ili wauze dawa zilizotengenezwa na wanaume wengine. Ni aibu sana hawa famasia wetu. Pia katika watu wote waliosomea masuala ya afya.
Hujui dawa zina patents na trademarks?
Huwezi Jitengenezea tu kuna watu wanamiliki kila kitu hivyo utawaomba kwanza

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
ni mambo mapana kidogo kama lissu kupiga kampeni bila barakoa msimu wote wa corona.

tuliza akili utaelewa.
 
Huna akili.
Akili huna wewe unaishindwa kutofautisha kati ya tui la nazi na maziwa tena wewe ni mpumbavu na kichwa chako ni kama boya kabisa mnashabikia ujinga na uzwazwa kusoma hujui hata kuangalia picha huwezi hapo ulipo unakovu la ndui mkononi mwako zebe mkubwa wewe
 
Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini Serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu.

Dawa za malaria, antibiotic, drip zote, chanjo za watoto kama ni kweli tusitumie pesa nyingi hivi kwa dawa. Badala yake tu sali tu na kutumia miti shamba kama wengine wanavyotaka.

Halafu tuangalie baada ya miaka 10 kama tutakuwa tumeongezeka au kupungua. Watoto wetu badala ya chanjo za ukoma mfano tuwape nyungu tuone itakuwaje!
NDIO UJUE SASA CHANJO YA COVID 19 HATUNUNUI HATA WASHUSHE BEI NA WALA YA BURE HATUITAKI
 
[emoji23][emoji23], Nenda directly siyo upinde, tutanunua hzo dawa ila chanjo zao saiz noo, mbona wao wanazo ila bado wanakufa[emoji848][emoji848], afu siyo kwamb kisa tunanunua hzo ndo wakigundua hata mav nayo tusombe tuu, we have to reson first, afu unajua Watz 60 milioni itagarim kias gan?
Vp hawawezi kutuwekea sumu kwenye hizo dawa tukafa Mkuu? Kwanini tusiachane nazo tu tuendelee kumuomba Mungu
 
Kuna watu hawataki uwazungumzie wazungu kama unavyowazungumzia watu wengine kwamba wana mazuri na mabaya.
 
Mwenzio ameuliza swali badala umjibu unamwambia hana akili, wewe mwenye akili mbona hujui jibu?!

Jitutumue hivyo hivyo umjibu tu, najua hilo swali gumu kweli.
Msamehe tu , ndio tatizo la kuwa na akili ya kushikiwa, inawezekana, bado hajarudishiwa toka fc lumumba!!yaani yamezoea kupinga hoja tena za kisayansi kwa mipasho!!!kama afanyavyo meko
 
Na Beberu huyo huyo akisema hanunui Tanzanite tutatafutana....maana sijui hata kwa hapa nchini tunatumia Tanzanite yetu kwa kiasi gani.
 
Back
Top Bottom