Huna akili.Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Dawa za malaria, antibiotic, drip zote, chanjo za watoto kama ni kweli tusitumie pesa nyingi hivi kwa dawa. Badala yake tu sali tu na kutumia miti shamba kama wengine wanavyotaka. Halafu tuangalie baada ya miaka 10 kama tutakuwa tumeongezeka au kupungua. Watoto wetu badala ya chanjo za ukoma mfano tuwape nyungu tuone itakuwaje!
Tatizo ni la wao kusoma au aina ya elimu waloyosoma?Mkuu tunafanya hivyo kwa sababu tuna famasia ambao ni vilaza hata panadol hawajui kutengeneza. Wao elimu yao walienda kusoma ili wauze dawa zilizotengenezwa na wanaume wengine. Ni aibu sana hawa famasia wetu. Pia katika watu wote waliosomea masuala ya afya.
Mkuu tatizo ni wao na elimu waliosoma. Wamekuwa wajinga kwa sababu wamesoma kitu ambacho hawakijui vizuri na mwisho wa siku walichosoma hakina tija katika jamii. Vivyo hivyo, wataalamu hao hawana tija kwa jamii.Tatizo ni la wao kusoma au aina ya elimu waloyosoma?
Elimu ni kiwanda kinadharisha watu/jamii/wafanyakazi unaowataka kupitia mtaala unaowafunza kwao
Niliwahi kusema humu, lazima tuelewe dhana ya elimu kwenye all-round sphere!
Education as an Output
Education as an Outcome
Education as the Product
Nakumbusha tena, Chuo kimoja cha Ufundi Stadi kilichokamilika ni bora kuliko sekondari 100
Tunadharau Vocational training lakini ipo siku tutaiamkia "shikamoo"
Mwenzio ameuliza swali badala umjibu unamwambia hana akili, wewe mwenye akili mbona hujui jibu?!Huna akili.
😂😂, Nenda directly siyo upinde, tutanunua hzo dawa ila chanjo zao saiz noo, mbona wao wanazo ila bado wanakufa🤔🤔, afu siyo kwamb kisa tunanunua hzo ndo wakigundua hata mav nayo tusombe tuu, we have to reson first, afu unajua Watz 60 milioni itagarim kias gan?Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Dawa za malaria, antibiotic, drip zote, chanjo za watoto kama ni kweli tusitumie pesa nyingi hivi kwa dawa. Badala yake tu sali tu na kutumia miti shamba kama wengine wanavyotaka. Halafu tuangalie baada ya miaka 10 kama tutakuwa tumeongezeka au kupungua. Watoto wetu badala ya chanjo za ukoma mfano tuwape nyungu tuone itakuwaje!
Lakin ungeanza kwa kuleza hvii, mm n ( professional yako) nimefanya ( ulichokigundua au ulichokifanya) ndo uleze tatzo la watu wa afya, tusilaum, changes begins with youMkuu tunafanya hivyo kwa sababu tuna famasia ambao ni vilaza hata panadol hawajui kutengeneza. Wao elimu yao walienda kusoma ili wauze dawa zilizotengenezwa na wanaume wengine. Ni aibu sana hawa famasia wetu. Pia katika watu wote waliosomea masuala ya afya.
Sio kila mzungu ni beberu hata wa Asia, na waafrika wapo mabeberuKwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Dawa za malaria, antibiotic, drip zote, chanjo za watoto kama ni kweli tusitumie pesa nyingi hivi kwa dawa. Badala yake tu sali tu na kutumia miti shamba kama wengine wanavyotaka. Halafu tuangalie baada ya miaka 10 kama tutakuwa tumeongezeka au kupungua. Watoto wetu badala ya chanjo za ukoma mfano tuwape nyungu tuone itakuwaje!
Kwa nini na mabeberu wanahangaika na madini yetu sisi masikinii??Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Dawa za malaria, antibiotic, drip zote, chanjo za watoto kama ni kweli tusitumie pesa nyingi hivi kwa dawa. Badala yake tu sali tu na kutumia miti shamba kama wengine wanavyotaka. Halafu tuangalie baada ya miaka 10 kama tutakuwa tumeongezeka au kupungua. Watoto wetu badala ya chanjo za ukoma mfano tuwape nyungu tuone itakuwaje!
Wanatudharau kwa ambacho sisi hatuna ila sisi tunawaheshimu kwa ambacho hawana😐😐Kwa nini na mabeberu wanahangaika na madini yetu sisi masikinii??
Hivi sera na mitaala inatengenezwa na nani?Mwanafunzi anaanzia Chekechea,Msingi,Sekondari na Vyuoni wanajiamulia wafunzwe nini?Ukijijibu hayo utafahamu kwa nini Mfamasia hawezi kutengeneza Paracetamol maana hiyo dawa ishatengenezwa.Akiweza aje na mbadala lakini tatizo ni mitaala na kuwapa wanasiasa watuamulie aina ya maisha yetu yote ili watutawale wapendavyo.Mkuu tatizo ni wao na elimu waliosoma. Wamekuwa wajinga kwa sababu wamesoma kitu ambacho hawakijui vizuri na mwisho wa siku walichosoma hakina tija katika jamii. Vivyo hivyo, wataalamu hao hawana tija kwa jamii.
Hatuzitaki Tena hizo ARVs sisi ni matajiri tunaweza kujitegemeaUSA mwaka Jana alitoa billions kwa ajili ya ARV
Comrade huogopi kutumia panadol itakuletea makorona ya ajabu-ajabu?Huna akili.
Hayo madini mlishawapa bure miaka mingi iliyopita now wametulia tu, sasa nyie ndio mnahangaika na mikataba mibovu mliyo saini nao wenyewe.Kwa nini na mabeberu wanahangaika na madini yetu sisi masikinii??
Kwa hiyo mna uhakika mitishamba zitawatosha hamuhitaji dawa za mabeberu??Hatuzitaki Tena hizo ARVs sisi ni matajiri tunaweza kujitegemea