Kwanini Serikali inatumia Tsh Billion 200 kununua dawa za “Mabeberu” kila mwaka?

 
Jamani mnapoandika andikeni mambo yanayoingia akilini.common sense.hivi dini gani inakwambia usali mungu atakuponya?ugua malaria ya mdudu 1tu, uombe kama utapona.ila unatumia dawa papo hapo unamwomba muumba akuponye.ndui kaondoka kwa chanjo,polio vivyo hivyo ila kuhusu malaria zipo dawa zinazotibu na unapona.ukienda kwenye ukimwi unajitakia mwenyewe.pamoja na hayo kuna dawa za kurefusha maisha.watu wanaishi mpaka wanazeeka lakini wanafuata ushauri.lakini hili la covid 19 halina mzaha.uwezo wa kutuletea chanjo vaccine upo tena mkubwa sana.serikali yetu ina uwezo mkubwa kifedha.KKKT wameshatoa waraka.covid 19 haina mzaha jamani eeeh.
 
Mkuu achana na wanasiasa hao, mwanasiasa siyo wa kumwamini chochote hata akikwambia haya Ni maji usimwamini maana anaweza sem haya Ni maji kumbe ni konyagi
hao sio wanasiasa bali ni wakosa akili. kwani siasa inataka tusitumie akili?
 
Chanjo kutoka kwa mabeberu 😂
 

Attachments

  • 72309F44-DD36-4751-B03B-05D28A00D7F5.jpeg
    74.4 KB · Views: 2
umenisaidia sana kumbe. Tunatoa billion 200 sasa hii kila mwaka au kila baada ya miaka miwili.

Hata madaktari wote humu hii hawajui!wala kusikia!! Yaani nchi hii?? Dr yoyte humu jibu!!!

Si waganga wa kienyeji tunao??? Au bado mnawadharau
 
Na wakati dawa ni malimao na tangawizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…