Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Leo Raisi MTUKUFU amesali wapi?
Halafu sijui nilijisahau vipi! Tangu jana nilijiambia mzizi wa fitina utakatwa leo wakati wa sala kwa sababu kwa jinsi JPM alivyo, lazima angetumia sala ya Jpili kutoa vichambo!!! Sifahamu kinachoendelea kwa sababu nilijisahau! Vipi, ina maana hajaonekana kanisani?!
 
Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
Tutajie hicho kifungu kwenye katiba kinachoruhusu raia au mwananchi kuuliza alipo Rais wa TZ...
 
Hujui historian ya elimu ya prof Sarungi pamoja na maria....Kaa kimya kama Bashite.....hoja hujibiwa kwa hoja na siyo kuwaomba polisi wamkamate maria
 
mchawi namba moja ni Maria sarungi na vijakazi wake
 
Aliyewaambia kuwa kuna taaruki ni nani? Ukijibu usiache kuweka na definition ya taaruki tafadhali.
 
tuma voice note sina muda wa kusoma utopolo
 
mngeanza kuwakamata walioandika kwenye gazeti lenu pendwa kuwa baba yake maria sarungi, mbowe na john mrema wamefariki ndipo mumkamate maria mwenyewe
 
Amesomeshwa na hela za CCM?????
 
mngeanza kuwakamata walioandika kwenye gazeti lenu pendwa kuwa baba yake maria sarungi, mbowe na john mrema wamefariki ndipo mumkamate maria mwenyewe
maria anaeneza uvumi rais amekufa ana roho mbaya sana huyo mzungu pori
 
maria anaeneza uvumi rais amekufa ana roho mbaya sana huyo mzungu pori
maria kaeneza kuhusu mtu mmoja ambaye mpaka sasa hatuna taarifa zake kuwa yuko hai au la, lakini magazeti ya musiba yanaeneza taarifa za watu ambao wamejitokeza na kukanusha
 
maisha yamekupiga mpaka akili zimekuruka. lazima uwe na nongwa kama maria sarungi
 
Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
Ibara gani mkuu. Nipitie chap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…