Mie ni Machinga baada ya kumsomesha mtoto nimeambulia kufikilia mateso ya mohamed au Yesu wakati wapo Hai mtoto anadharau wimbo wa Stamina Afadhari... Anyway Andika tu ukiona vipi tuma kwa Makamu wa Rais..
Kweli mitume walipata tabu kwenye hii dunia kupambana na dharau zisizo na mwanzo wala mwisho lakini yawezekana fursa ya kila mtu kuuwa hela kwa kila mtu kupewa Mil 50 2025 ili tujue Amani ya hii nchi ilitokea wapo.. Russia, Ujerumani, India, au ...
WAnasiasa wanasema zaeni tunazaa fursa zikija kazi ya UKOKO wa wali