Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Hao siyo binadamu wala hayo magazeti hatafungiwa
 
Wewe mpk sasa umekamata wangapi
 
watu wengi kina nani hao unaowazungumzia? acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya watanzania watanzania wanamkubali jpm na hawana haja na kelele zenu
Wanamkubali ndio sababu wanataka awe salama na tumuone.jana asubuhi kipindi Cha star TV (jicho letu ndani habari)waliopiga simu wote walihitaji wamuone Rais wao na ni haki yao kujua.na huu ni utamaduni wetu.kwa viongozi wetu waliotangulia tulijuzwa .
 
Kwa hiyo mnataka kumkata kwa kutumia katiba ya CCM?
 
angepewa kwanza akatae achna na assumptions...kumbuka tunaongelea mtu aliyekuwa anapigia kampeni magufuli na kuwatukana chadema akiwaita mafisadi wapya hahahaahaha
Bado upo kwenye fikra zilezile!! Yaani mtu akimpigia kampeni JPM ndo anatafuta cheo?! Hivi kwa akili yako wana-CCM WOTE wanafurahishwa na Magu?! Au ndo bado unaamini kama kuna mwingine yeyote asiyefurahishwa na Magu ni kwavile hakupata ulaji?!

Labda tu nikukumbushe, Maria Sarungi amepata degree yake ya kwanza enzi za Mkapa! Kama anagekuwa na passion kubwa kiasi hicho ya kutaka kazi serikalini tayari angekuwa nayo hasa ukizingatia baba yake alikuwa waziri na elimu alikuwa nayo!!
 
Mambo mengine yaache wewe tafuta ugali wako ....
 
tafuta hela ndio zitakukomboa inaonekana una frustration za maisha magumu. mmewekwa kwenye illusion kwamba kuna mtu atakuja kuwapa maisha mazuri jinga wahed
Basi aondoke Kama Hana uwezo huo. Ndo Mana nchi inakuwa na kiongozi otherwise kila mtu ajiongoze mwenyewe. Sasa yeye hana uwezo huo halafu anangangania uraisi
 
Basi aondoke Kama Hana uwezo huo. Ndo Mana nchi inakuwa na kiongozi otherwise kila mtu ajiongoze mwenyewe. Sasa yeye hana uwezo huo halafu anangangania uraisi
aendi popote chuma bado kipo wewe endelea kusubiri rais ataekupa hela mfukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…