Kwanini serikali isiwachukue hawa vichaa wanaozagaa mitaani na kuwaweka kwenye makempu kwa ajili ya kuwahudumia na kuwatibia

Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi

Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha ni vyema serikali ikaliona hili hawa pia ni watanzania.

Nawasilisha.
hivi,unategemea ukiwafungia machizi matahalan kwenye nyumba moja,unategemea kukuta maiti ngapi? hivi haujui hawa jamaa ukiwafungia sehem moja watazidi kudata!!!!,,,,,,,,,,wewe kuku kishingo nini?
 
Hujanielewa mkuu sijasema kuwafungia nimesema wawakudumie kimakazi na maradhi

Kuna mabweni ya wahisani kule lutindi wilayani lushoto mbona machizi wanaishi fresh kabisa na wanatibiwa wanapona ni vile ni gharama kwa wiki sijui elfu 60

Serikali inashindwa nini kuweka mabweni kama yale na wauguzi kwa ajili ya hili kundi dogo tu kati ya watu milion 60 sijui kama wanafika hata robo
 
Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi
Kuna mdau hapo kale alishauliza kuwatenga vichaa sababu hatuwaelewi je tunawatendea haki wao au tunajitendea / tunajifurahisha sisi kwa kutokuwa na kitu ambacho tunakiona ni bughuza.., Hivyo kama mtu sio menace to society it is better tukae nae au tumtenge ?
Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha ni vyema serikali ikaliona hili hawa pia ni watanzania.

Nawasilisha.
Upoongelea ulemavu sidhani kama walemavu wote wanahitaji hospitali bali wanahitaji kuweza kupata ujira kulingana na uwezo wao (From each according to his / her ability)... Mwisho wa siku kuna bomu ambalo linatengenezwa na litamuathiri kila kiumbe be it hatumuelewi (kichaa kwa macho yetu) au yoyote yule ambae leo nguvu kazi yake haitumiki ili aweze kulia kivulini hapo kesho

Hivi ile wizara ya makundi maalum kazi yake ni nini kwanini hawa watu ni kama wamewatoa sadaka tofauti na makundi mengine ya walemavu
Wale wanakuwa relevant kupata kura, after kura wanarudishwa kwenye hadhi yao ile ile
 
Mkuu
Kuna mdau hapo kale alishauliza kuwatenga vichaa sababu hatuwaelewi je tunawatendea haki wao au tunajitendea / tunajifurahisha sisi kwa kutokuwa na kitu ambacho tunakiona ni bughuza.., Hivyo kama mtu sio menace to society it is better tukae nae au tumtenge ?

Upoongelea ulemavu sidhani kama walemavu wote wanahitaji hospitali bali wanahitaji kuweza kupata ujira kulingana na uwezo wao (From each according to his / her ability)... Mwisho wa siku kuna bomu ambalo linatengenezwa na litamuathiri kila kiumbe be it hatumuelewi (kichaa kwa macho yetu) au yoyote yule ambae leo nguvu kazi yake haitumiki ili aweze kulia kivulini hapo kesho

Mkuu labda sijakuelewa ila sijamaanisha kuwatenga, nimemaanisha kuwaweka katika uangalizi wa huduma ya chakula na matibabu kama wafanyavyo wale wa lutindi hospital wilayani lushoto hii kitu inawezekana
 
Ikifanya hivyo,TAL hataweza kugombea nafasi aliyoomba.
Mkuu tuko wengi tutasombwa mitaani
Tusifanye siasa kwenye afya ya mwanadamu asiyeweza kujipambania vichaa hawana zaidi ya pumzi tu ya Mungu ila katika dunia hawana chao kingine tuwahurumie hapa naongea na serikali kuweni na huruma please
 
Ni wazo zuri mno aise.
Naamini inawezekana sio hata kwa kutumia wahisani.
Watasema hawana pesa kwaajili ya hawa watu
Ile mirembe Kama ambavyo wamepandisha hadhi hosptali za mikoa basi zingekuwa na vituo vya hawa watu kila mkoa.
 
Mkuu
Mkuu labda sijakuelewa ila sijamaanisha kuwatenga, nimemaanisha kuwaweka katika uangalizi wa huduma ya chakula na matibabu kama wafanyavyo wale wa lutindi hospital wilayani lushoto hii kitu inawezekana
Kila Hospitali kuna wodi ya Vichaa mpaka kuna Hospitali ya Vichaa Mirembe..., Huko Bugando kuna C1 ni wodi ya vichaa...

Ila swali likaja are they better of kupelekwa kule na kupewa madawa ya downers ili wasifanye fujo na kusumbua watu..., Na Je tunawapeleka huko sababu tunawapenda au ni Kero kwetu hivyo kama takataka au uchafu tunauweka ambapo hatutaki kuwaona ?

Kumbuka hapa sitoi statement kwamba which is which au nini ni bora kuliko kingine bali nimekupa the other side of the coin..., Je mtu kama sio menace to society (anaweza kuwadhuru au kuwauwa) Je mtu huyu atakuwa better off kuwekwa na wengine wagonjwa au kujumuika na jamii inayomjua, mfahamu na kumuelewa... Kama ni issue ya chakula na malazi sio vichaa tu Bongo nzima asilimia kubwa haina hizi basic needs...

Kwahio sio kwa vijaa tu..., Utawala wa hivi karibuni umefeli kabisa kwenye nyanja ya kuhakikisha watu wake wana disposable income
 
Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi

Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha ni vyema serikali ikaliona hili hawa pia ni watanzania.

Nawasilisha.
Hoja yenye mashiko🙏🙏🙏
 
Gharama kuwahudumia. Chakula, matibabu, mtu wa kuwahudumia, mavazi, eneo, umeme, maji, nk.
Serikali iwe na hela ya kufanya ya siyo na "umuhimu" ikose ya kuwahudumia "wahonjwa" wake?
 
Linaweza kuwa wazo zuri ila si kazi rahisi kama unavyofikiria. Vipo vituio vinavyolea watu wenye matatizo ya akili nchini ila sio vingi kukidhi mahitaji. Kuna ghalama kubwa kuwatunza watu wasiozalisha ila wanaingiza hasara.
Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi

Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha ni vyema serikali ikaliona hili hawa pia ni watanzania.

Nawasilisha
 
Ni wazo zuri mno aise.
Naamini inawezekana sio hata kwa kutumia wahisani.
Watasema hawana pesa kwaajili ya hawa watu
Ile mirembe Kama ambavyo wamepandisha hadhi hosptali za mikoa basi zingekuwa na vituo vya hawa watu kila mkoa.
Ahsante mkuu kwa kuniunga mkono
 
Kila Hospitali kuna wodi ya Vichaa mpaka kuna Hospitali ya Vichaa Mirembe..., Huko Bugando kuna C1 ni wodi ya vichaa...

Ila swali likaja are they better of kupelekwa kule na kupewa madawa ya downers ili wasifanye fujo na kusumbua watu..., Na Je tunawapeleka huko sababu tunawapenda au ni Kero kwetu hivyo kama takataka au uchafu tunauweka ambapo hatutaki kuwaona ?

Kumbuka hapa sitoi statement kwamba which is which au nini ni bora kuliko kingine bali nimekupa the other side of the coin..., Je mtu kama sio menace to society (anaweza kuwadhuru au kuwauwa) Je mtu huyu atakuwa better off kuwekwa na wengine wagonjwa au kujumuika na jamii inayomjua, mfahamu na kumuelewa... Kama ni issue ya chakula na malazi sio vichaa tu Bongo nzima asilimia kubwa haina hizi basic needs...

Kwahio sio kwa vijaa tu..., Utawala wa hivi karibuni umefeli kabisa kwenye nyanja ya kuhakikisha watu wake wana disposable income
Nimetoa mfano wa hospital ya wahisani ya lutindi wilayani korogwe ifuatilie wanavyofanya utapata hints ya kipi nazungumzia hapa
 
Back
Top Bottom