Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
Pesa za kumpa kuhani Musa milion mia, mama atatoa wap kama ataanzisha wodi za vichaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi,unategemea ukiwafungia machizi matahalan kwenye nyumba moja,unategemea kukuta maiti ngapi? hivi haujui hawa jamaa ukiwafungia sehem moja watazidi kudata!!!!,,,,,,,,,,wewe kuku kishingo nini?Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi
Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha ni vyema serikali ikaliona hili hawa pia ni watanzania.
Nawasilisha.
Seriously; unamcheka kichaa?! Inawezekana unakichaa Fulani.Ikiwachukua sisi tutachekaje mtaani na maisha hiv yalivyo magumu.
Hujanielewa mkuu sijasema kuwafungia nimesema wawakudumie kimakazi na maradhihivi,unategemea ukiwafungia machizi matahalan kwenye nyumba moja,unategemea kukuta maiti ngapi? hivi haujui hawa jamaa ukiwafungia sehem moja watazidi kudata!!!!,,,,,,,,,,wewe kuku kishingo nini?
Kuna mdau hapo kale alishauliza kuwatenga vichaa sababu hatuwaelewi je tunawatendea haki wao au tunajitendea / tunajifurahisha sisi kwa kutokuwa na kitu ambacho tunakiona ni bughuza.., Hivyo kama mtu sio menace to society it is better tukae nae au tumtenge ?Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi
Upoongelea ulemavu sidhani kama walemavu wote wanahitaji hospitali bali wanahitaji kuweza kupata ujira kulingana na uwezo wao (From each according to his / her ability)... Mwisho wa siku kuna bomu ambalo linatengenezwa na litamuathiri kila kiumbe be it hatumuelewi (kichaa kwa macho yetu) au yoyote yule ambae leo nguvu kazi yake haitumiki ili aweze kulia kivulini hapo keshoBaadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha ni vyema serikali ikaliona hili hawa pia ni watanzania.
Nawasilisha.
Wale wanakuwa relevant kupata kura, after kura wanarudishwa kwenye hadhi yao ile ileHivi ile wizara ya makundi maalum kazi yake ni nini kwanini hawa watu ni kama wamewatoa sadaka tofauti na makundi mengine ya walemavu
Mkuu labda sijakuelewa ila sijamaanisha kuwatenga, nimemaanisha kuwaweka katika uangalizi wa huduma ya chakula na matibabu kama wafanyavyo wale wa lutindi hospital wilayani lushoto hii kitu inawezekanaKuna mdau hapo kale alishauliza kuwatenga vichaa sababu hatuwaelewi je tunawatendea haki wao au tunajitendea / tunajifurahisha sisi kwa kutokuwa na kitu ambacho tunakiona ni bughuza.., Hivyo kama mtu sio menace to society it is better tukae nae au tumtenge ?
Upoongelea ulemavu sidhani kama walemavu wote wanahitaji hospitali bali wanahitaji kuweza kupata ujira kulingana na uwezo wao (From each according to his / her ability)... Mwisho wa siku kuna bomu ambalo linatengenezwa na litamuathiri kila kiumbe be it hatumuelewi (kichaa kwa macho yetu) au yoyote yule ambae leo nguvu kazi yake haitumiki ili aweze kulia kivulini hapo kesho
Ustawi wa Jamii: Tunajiandaa Vipi na Kuzuia Wimbi la Wazee Ombaomba wa Kesho ?
Wahenga walisea Mchumia Juani Hulia Kivulini; Ila nadhani hawaku-consider kama cha kuchuma hakipo inakuwaje...; Baba wa Taifa alisema katika Hotuba ya TANU (ambayo ndio Baba wa huyu CCM anayetawala Leo) CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...www.jamiiforums.com
Tusifanye siasa kwenye afya ya mwanadamu asiyeweza kujipambania vichaa hawana zaidi ya pumzi tu ya Mungu ila katika dunia hawana chao kingine tuwahurumie hapa naongea na serikali kuweni na huruma pleaseIkifanya hivyo,TAL hataweza kugombea nafasi aliyoomba.
Mkuu tuko wengi tutasombwa mitaani
Kila Hospitali kuna wodi ya Vichaa mpaka kuna Hospitali ya Vichaa Mirembe..., Huko Bugando kuna C1 ni wodi ya vichaa...Mkuu
Mkuu labda sijakuelewa ila sijamaanisha kuwatenga, nimemaanisha kuwaweka katika uangalizi wa huduma ya chakula na matibabu kama wafanyavyo wale wa lutindi hospital wilayani lushoto hii kitu inawezekana
Hoja yenye mashiko🙏🙏🙏Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi
Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha ni vyema serikali ikaliona hili hawa pia ni watanzania.
Nawasilisha.
Serikali iwe na hela ya kufanya ya siyo na "umuhimu" ikose ya kuwahudumia "wahonjwa" wake?Gharama kuwahudumia. Chakula, matibabu, mtu wa kuwahudumia, mavazi, eneo, umeme, maji, nk.
Kabisa!Hizo gharama ni ndogo ukilinganisha zile za kununua v8 kila mwaka
Naamini pia hakuna mwenye "akili" timamu anayeweza kumcheka kichaa.Ukiona kichaa anachekesha sio ndugu yako awe ndugu yako wa damu uone kama anachekesha
Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi
Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha ni vyema serikali ikaliona hili hawa pia ni watanzania.
Nawasilisha
Kichaa anachekesha sana km sio ndg yako.Ikiwachukua sisi tutachekaje mtaani na maisha hiv yalivyo magumu.
Si wanakusanya kodi?Gharama kuwahudumia. Chakula, matibabu, mtu wa kuwahudumia, mavazi, eneo, umeme, maji, nk.
Ahsante mkuu kwa kuniunga mkonoNi wazo zuri mno aise.
Naamini inawezekana sio hata kwa kutumia wahisani.
Watasema hawana pesa kwaajili ya hawa watu
Ile mirembe Kama ambavyo wamepandisha hadhi hosptali za mikoa basi zingekuwa na vituo vya hawa watu kila mkoa.
Nimetoa mfano wa hospital ya wahisani ya lutindi wilayani korogwe ifuatilie wanavyofanya utapata hints ya kipi nazungumzia hapaKila Hospitali kuna wodi ya Vichaa mpaka kuna Hospitali ya Vichaa Mirembe..., Huko Bugando kuna C1 ni wodi ya vichaa...
Ila swali likaja are they better of kupelekwa kule na kupewa madawa ya downers ili wasifanye fujo na kusumbua watu..., Na Je tunawapeleka huko sababu tunawapenda au ni Kero kwetu hivyo kama takataka au uchafu tunauweka ambapo hatutaki kuwaona ?
Kumbuka hapa sitoi statement kwamba which is which au nini ni bora kuliko kingine bali nimekupa the other side of the coin..., Je mtu kama sio menace to society (anaweza kuwadhuru au kuwauwa) Je mtu huyu atakuwa better off kuwekwa na wengine wagonjwa au kujumuika na jamii inayomjua, mfahamu na kumuelewa... Kama ni issue ya chakula na malazi sio vichaa tu Bongo nzima asilimia kubwa haina hizi basic needs...
Kwahio sio kwa vijaa tu..., Utawala wa hivi karibuni umefeli kabisa kwenye nyanja ya kuhakikisha watu wake wana disposable income