matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Hii ni miaka 19 iliyopitaNaomba source ikithibitisha Iran kusema hivyo
Yaani uwe na familia yenye malengo ya kuliangamiza familia yote ya mtu anayeishi mbagala Mwanza wakati wewe unaishi Mtwara.Mnaanza kuokoteza vimaneno vya kutia huruma?.. ndio kwanza mechi inaanza tulia
Indonesia iko mbali sana na Israel,Wala maslahi yake hayaguswi na Israel kivyovyote.Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?
Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.
Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.
ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?
Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.
Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Watu weupe wameumbwa kwa visas hilo jambo huwez weweYaani uwe na familia yenye malengo ya kuliangamiza familia yote ya mtu anayeishi mbagala Mwanza wakati wewe unaishi Mtwara.
Hii imekaaje mkuu
Mambo ni mengi... Kinachosababisha ni muunganiko wa Palestine na Iran.Yaani uwe na familia yenye malengo ya kuliangamiza familia yote ya mtu anayeishi mbagala Mwanza wakati wewe unaishi Mtwara.
Hii imekaaje mkuu
Sasa KWA nini Nyuklia mkuu wakati wanamafuta MENGI ambayo yangewasaidia kutatua changamoto za nishati.Indonesia iko mbali sana na Israel,Wala maslahi yake hayaguswi na Israel kivyovyote.
Hizo kauli zilikuja ama kuibuka baada ya Israel kuwa anaiingilia sana maslahi ya Iran.
Mathalan kuua wanasayansi wake wa nuclear Israel hajaanza leo.
Hivyo chokochoko za Israel dhidi ya Iran akishirikiana na USA ndio zimeibua hiyo kauli.
Of course hata Mimi ningetoa hiyo kauli.
Haiwezekani Kila mara wewe unaingilia maslahi yangu Kesha nikuache.
Kwa nini Saudia wasingefanya hivyo maana wao naona ndio wanaukaribu na mambo ya uislam na YERUSALEM kuliko Ilan hii ya Kiislam iliyoanza miaka ya 70 nadhaniMambo ni mengi... Kinachosababisha ni muunganiko wa Palestine na Iran.
Iran inachukulia ardhi waliyoikalia wayahudi ni sehemu takatifu kwa upande wao huku wayahudi wakiwa na madai hayohayo
Mkuu USA imeiwekea Iran vikwazo vya kiuchumi na silaha tangu mwaka 1979.Sasa KWA nini Nyuklia mkuu wakati wanamafuta MENGI ambayo yangewasaidia kutatua changamoto za nishati.
Kwa nini hao wanasayansi wasingejikita kwenye kuliko, biashara na uvumbuzi wa makombora ya kisasa na mitambo ya kisasa wakapiga faida KWA kuyauza dunia nzima. Mfano Fattah limenifurahisha sana jinsi linavyomanouver na kukwepa ADS tena KWA spidi kali mach zaidi ya 15. Mbona Bado walikuwa na fursa kubwa ya kuitajirisha nchi kupitia weledi wao
Yap Kuna watu mtaani hata kama hawakujui ila wakiona unakula maisha na kucheka vizuri na familia wao wanaanzisha battle kali ikiwezekana wanakuondoa kabisaWatu weupe wameumbwa kwa visas hilo jambo huwez wewe
Hata hapo ulipo kuna watu wana wipe familia zawenzao
Unazungumzia Saudi Arabia ambayo kiongozi wao rafiki wa USA?Kwa nini Saudia wasingefanya hivyo maana wao naona ndio wanaukaribu na mambo ya uislam na YERUSALEM kuliko Ilan hii ya Kiislam iliyoanza miaka ya 70 nadhani
Saudi Arabia wafalme wao ni machawa wa serikali za magharibi hivyo inawabidi wawe na ule uislamu jina tu pasipo msimamo.Kwa nini Saudia wasingefanya hivyo maana wao naona ndio wanaukaribu na mambo ya uislam na YERUSALEM kuliko Ilan hii ya Kiislam iliyoanza miaka ya 70 nadhani
Hawa wamezingatia agizo la mtume wao.Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?
Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.
Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.
ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?
Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.
Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Kwahyo uislam ambao ni halisi nimpaka uwe mgomvi shke? Nashukuru kwa kutuelimisha maana hallisi ya uislam! Kumbe ili uwe muislam halisii hutakiwi kuwa narafik asye muislam 🙏Saudi Arabia wafalme wao ni machawa wa serikali za magharibi hivyo inawabidi wawe na ule uislamu jina tu pasipo msimamo.
Hakuna kingine zaidi ya chuki na roho mbaya.Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?
Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.
Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.
ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?
Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.
Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Mkorofi ni yupi kama sio myahudi?Kwahyo uislam ambao ni halisi nimpaka uwe mgomvi shke? Nashukuru kwa kutuelimisha maana hallisi ya uislam! Kumbe ili uwe muislam halisii hutakiwi kuwa narafik asye muislam 🙏
Kwanini Israel alikuwa/anaua wanasanyansi wa iran? Iran ndo alianza chokochoko enzi hizo kwa madai kuwa Israel amevamia ardhi ya Waislam!Indonesia iko mbali sana na Israel,Wala maslahi yake hayaguswi na Israel kivyovyote.
Hizo kauli zilikuja ama kuibuka baada ya Israel kuwa anaiingilia sana maslahi ya Iran.
Mathalan kuua wanasayansi wake wa nuclear Israel hajaanza leo.
Hivyo chokochoko za Israel dhidi ya Iran akishirikiana na USA ndio zimeibua hiyo kauli.
Of course hata Mimi ningetoa hiyo kauli.
Haiwezekani Kila mara wewe unaingilia maslahi yangu Kesha nikuache.
Umesema saudia syo muislam kisa anamaelewano na us ndo ndo nkawa sjaelewaMkorofi ni yupi kama sio myahudi?