Kwanini Serikali ya Iran ilikuwa na malengo ya kulifuta taifa la Israel?

Kwanini Israel alikuwa/anaua wanasanyansi wa iran? Iran ndo alianza chokochoko enzi hizo kwa madai kuwa Israel amevamia ardhi ya Waislam!
Mwaka gani Iran alianza hizo chokochoko?
Nitajie mwaka.
 
Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?

Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.

Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.

ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?

Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.

Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Na ndiyo sababu iliyofanya wayahudi wengi kupenyezwa ndani ya Iran kufatilia kila kinachoendelea na kutoa taharifa. Na Israel kuifatilia Iran zaidi kimienendo sababu wanajua kila anachofanya Iran kijeshi ni kwa ajili ya Israel.
Sasa ukiwa na nguvu uwezi kumchekea mtu wa namna hivyo
 
Sijasema sio muislam nimesema wafalme wao ni machawa wa serikali za magharibi ambazo zinapambana usiku na mchana kuwatiisha waislamu chini ya miguu yao
Achaga Upumbavu wa kuleta mambo ya Kidini kwenye ujinga wa watu wenyewe. Indonesia inaongoza kuwa na waislam wengi duniani ushasikia inapigwa au kusapoti mavikundi ya kipumbavu ili kuuwa watu?. Maana Kama unasema shida ni uislamu ingepigwa Indonesia yenye waislamu wengi duniani. Au uwenda waislam wanaomuheshimu Mungu na kujiepusha na maovu wapo Indonesia na siyo Irani.
 
Walioanza kutengeneza vikundi vya kuua watu ni haohao mabasha wako... Rejelea Islamic state, anti balaka, alkaida, kule Mali na birkafaso na sasa wayahudi wameunda kundi lingine ili walitume Gaza
 
Hiyo kazi Iran nayo umefanya katika kutekeleza azimio lake hili. Vipi kama nao ni njia ya kulindwa tishio la uwepo wake.
 
Point yako Iko wazi sana. Inajifafanua
 
Walioanza kutengeneza vikundi vya kuua watu ni haohao mabasha wako... Rejelea Islamic state, anti balaka, alkaida, kule Mali na birkafaso na sasa wayahudi wameunda kundi lingine ili walitume Gaza
Una ujinga mwingi sana kichwani mwako. Uzushi na kusingizia ni asili yenu hakuna cha kushangaa. Ona ulivyo mpumbavu anti baraka Africa ya Kati wakiamua kupambana na wale wapumbavu wenu wa Imani Kali baada ya kuvamia wakitaka nchiniwe ya kiislamu. Wakawatandika kobazi wenzako mpaka Leo hawana hamu ya kuleta ule Upumbavu mashariki ya Kati. Alafu unasema walianzisha wa Israel. Utachekwa mjinga wewe kila mtu anajua habari ya ant baraka ilianzaje. Kipunguzie ujinga wakati mwingine hata kama uwezi.
 
Hiyo kazi Iran nayo umefanya katika kutekeleza azimio lake hili. Vipi kama nao ni njia ya kulindwa tishio la uwepo wake.
Ni kweli mkuu nilikua namjibu mjinga mmoja hapo juu... Haya mambo chanzo chake ni maslahi sema dini na mengine hutumika tu
 
Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?

Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.

Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.

ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?

Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.

Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Wanasema israeli ni wavamizi pale. Wanawafuta ili wapalestina wabaki na ardhi wanayosema ni yao.
 
Indonesia iko mbali sana na Israel,Wala maslahi yake hayaguswi na Israel kivyovyote.
Hizo kauli zilikuja ama kuibuka baada ya Israel kuwa anaiingilia sana maslahi ya Iran.
Mathalan kuua wanasayansi wake wa nuclear Israel hajaanza leo.
Hivyo chokochoko za Israel dhidi ya Iran akishirikiana na USA ndio zimeibua hiyo kauli.
Of course hata Mimi ningetoa hiyo kauli.
Haiwezekani Kila mara wewe unaingilia maslahi yangu Kesha nikuache.
Zamani kabla ya 1979 ilikuwa haiingilii zaidi Iran ilishirikiana kwenye mambo MENGI na Israel ya kimaendeleo. Miradi ya kilimo etc.
Huoni chanzo cha kufuatiliwa ni kauli za kutaka kuifuta katika ramani ya dunia.
Ingekuwa wewe unasikia mtu anatangaza kulifuta wewe na familia yako, ungelala na kumchekeachekea

Umbali sio shida, North Korea Iko mbali na US lakini anapambana kutengeneza missile ifike US katika harakati za kujitetea.
 
Hiyo kazi Iran nayo umefanya katika kutekeleza azimio lake hili. Vipi kama nao ni njia ya kulindwa tishio la uwepo wake.
Mkuu huyu ni mjinga asiyejitambua. Sasa ant baraka ilianza kuwajibu Wala Imani Kali walivyoanza kuuwa wakristo afrika ya Kati. Wakawafeka wale mbwa wakakimbia yeye anasema walianzisha na Israel Sasa ana akili kweli huyu?. Si Kama walivyokuwa rufiji jw wakawafeka wakakimbilia msumbiji alafu useme jw ilianzishwa na Israel sababu tu waliwafeka kobazi wakakimbia Tanzania. Huyu jamaa ni mweupe sana kichwani
 
Ni kweli mkuu nilikua namjibu mjinga mmoja hapo juu... Haya mambo chanzo chake ni maslahi sema dini na mengine hutumika tu
Hapo Sasa umeenda vyema. Hapo hakuna uislam Wala dini. Ishu ni Uchumi. Israel kawekwa middle east makusudi kuisimamia uchumi wa magharibi ambao kitovu chake ni middle east. Kuna watu duniani hasa US anaamini Kila KITU kizuri na chenye faida kinatakiwa kielekezwe kwake na Sio vinginevyo
 
Mkuu huyu ni mjinga asiyejitambua. Sasa ant baraka ilianza kuwajibu Wala Imani Kali walivyoanza kuuwa wakristo afrika ya Kati. Wakawafeka wale mbwa wakakimbia yeye anasema walianzisha na Israel Sasa ana akili kweli huyu?. Si Kama walivyokuwa rufiji jw wakawafeka wakakimbilia msumbiji alafu useme jw ilianzishwa na Israel sababu tu waliwafeka kobazi wakakimbia Tanzania. Huyu jamaa ni mweupe sana kichwani
ANACHANGANYA mambo yasiyohusiana
 
Kimsingi ukifanikiwa kuzifuta hizi nchi mbili, hakika utakumbukwa vizazi na vizazi! (Marekani na Israel)!! Kwa nini? Jibu ni kwamba hizo nchi mbili ndiyo kitovu cha uovu wote duniani.

Yaani ukiona watu wanakufa kwa magonjwa au vita, basi fahamu fika chanzo chake ni Marekani au Israel. Na hapa sijaongelea usodoma na gomora! Na wenyewe chanzo chake ni huko huko.
Hii imekaa ki masjid sana na wala haina mantiki yoyote. Anzisha vita basi ukayafute kwenye ramani ya dunia maana wenyewe wenye dini yao wameshakiri kushindwa sasa wewe wa kudandia dini kama gari bovu ndio utaweza.

Very hopeless indeed.
 
Wanasema israeli ni wavamizi pale. Wanawafuta ili wapalestina wabaki na ardhi wanayosema ni yao.
Hata Marekani Wazungu ni wavamizi maana kulikuwa na wahindi wekundu tu kama ishu ni wavamizi, au yeye ameamua kudili na wanaowavia watu wa dini flani au race flani tu.
 
Iran ndio ina uthbutu wa kujaribu kufanikisha walichoamriwa na mtume wao...

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
Sijasema sio muislam nimesema wafalme wao ni machawa wa serikali za magharibi ambazo zinapambana usiku na mchana kuwatiisha waislamu chini ya miguu yao
Mbona waislam wananunua makanisa MENGI ulaya na kuyafanya misikiti. Mbona wazungu wengi siku hizi wanajiunga na uislam kuliko zamani. Na wazungu wengi hata ukristo hawana ishu nao zaidi wamehamia kwenye atheism. Unaweza kufafanua zaidi unachomaamisha
 
Back
Top Bottom