Kwanini Serikali ya Iran ilikuwa na malengo ya kulifuta taifa la Israel?

Kwanini Serikali ya Iran ilikuwa na malengo ya kulifuta taifa la Israel?

Indonesia iko mbali sana na Israel,Wala maslahi yake hayaguswi na Israel kivyovyote.
Hizo kauli zilikuja ama kuibuka baada ya Israel kuwa anaiingilia sana maslahi ya Iran.
Mathalan kuua wanasayansi wake wa nuclear Israel hajaanza leo.
Hivyo chokochoko za Israel dhidi ya Iran akishirikiana na USA ndio zimeibua hiyo kauli.
Of course hata Mimi ningetoa hiyo kauli.
Haiwezekani Kila mara wewe unaingilia maslahi yangu Kesha nikuache.
Hivi unajisikiaje kusema uongo bila aibu? Iran ilianza kutangaza uadui na kuifuta Israel hata kabla hao wanasayansi hawajaanza kuuawa. Siku kadhaa baada ya mapinduzi ya kiislamu Iran ilitangaza uadui na Israel na kudai italifuta.
 
Sasa KWA nini Nyuklia mkuu wakati wanamafuta MENGI ambayo yangewasaidia kutatua changamoto za nishati.
Kwa nini hao wanasayansi wasingejikita kwenye kuliko, biashara na uvumbuzi wa makombora ya kisasa na mitambo ya kisasa wakapiga faida KWA kuyauza dunia nzima. Mfano Fattah limenifurahisha sana jinsi linavyomanouver na kukwepa ADS tena KWA spidi kali mach zaidi ya 15. Mbona Bado walikuwa na fursa kubwa ya kuitajirisha nchi kupitia weledi wao
Israel anamchongea Kwa US apigwe vikwazo hio tech nani atanunua? Wakati una vikwazo?
 
Kabisa mkuu. Dini hapo haiusiki kwa chochote kile. Kwani dini ndiyo imesema kuifuta Israel mpaka ausishe dini?. Ilyotamka ni Iran na siyo dini.
Mimi nasoma Quran
Wayahudi wapo middle east tangu enzi za Mtume. Caliph Uthmani alivamia Jerusalem na kuwateka anasema tutasambaza uislam KWA KWA wayahudi sio KWA kulazimishia bali KWA kuonyesha uzuri wake na kuweka mfano Bora Hadi wayahudi waupende na kujiunga.

Hii ya kuwafuta KWA nini isingeanza na Mtume Mohammad SAW na Maswahiba wake inaibuka tu kwenye Uislam wa Iran?
 
Mbona waislam wananunua makanisa MENGI ulaya na kuyafanya misikiti. Mbona wazungu wengi siku hizi wanajiunga na uislam kuliko zamani. Na wazungu wengi hata ukristo hawana ishu nao zaidi wamehamia kwenye atheism. Unaweza kufafanua zaidi unachomaamisha
Marekani na washirika wake hawana shida na dini yako ikiwa huingilii maslahi yao, au ikiwa kuna kitu wanataka kwako ukawanyima ndipo shida inaazia... Mbona waowao huwatumia waislamu kupigania maslahi yao?
 
Kwa mfano tuchukulie vita hii ya Sasa Iran hakua kabisa anataka vita japo ndugu zake Palestine wanauawa , lakini Israel wakamvamia na kuua viongozi nani mgomvi? Siku zote ukisikia Iran kabutua mtu yeye Anakua kachokozwa saivi west yote wanapiga kelele wanaacha kukemea upumbavu wa mazayuni, mwanzo wa vita siku ya kwanza walikua wanafurahia Iran kuvamiwa. Mtu kua na nyuklia Tena kakubali pafanyike makubaliano namna nzuri ya kuindesha nyuklia yenyewe anavamiwa kwanini? Kinacho mpata mzayuni saivi ni matokeo ya ujinga wake mwenyewe na atafumuliwa na hakuna kitu US wala Europe watafanya Irani mlishamchelewa muda mark this
 
Iran ndio ina uthbutu wa kujaribu kufanikisha walichoamriwa na mtume wao...

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Hadithi ni vitu ambavyo uislam hauviamini sana maana nyingi zinastori za ajabu. Ila kinachowaunganisha ni Quran.

Mfano
Surah Al-Ma'idah (5:44-47) inataka wayahudi wahukumiwe KWA vitabu vyao.
 
Marekani na washirika wake hawana shida na dini yako ikiwa huingilii maslahi yao, au ikiwa kuna kitu wanataka kwako ukawanyima ndipo shida inaazia... Mbona waowao huwatumia waislamu kupigania maslahi yao?
Kikubwa wale usiwatunishie misuli wakati huna watu wa kukusaidia. Watakubonda tu maana wao haji mmoja wanakuja wote kukupiga KWA mkupuo na kuweka maslahi yao KWA lazima. Sasa utajichanganya sana kama utakuwa na vision ya kuwaua kabisa au kuua wadau wao.

Ndio maana wayahudi walipojua hilo wakawekeza kwenye kumiliki fedha Technolojia na Vyombo vya habari kisha wakajipoteza na kutokea kwenye nchi nyingine kama watu wengine kabisa
 
Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?

Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.

Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.

ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?

Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.

Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Vita ya shetani na Mungu ilianzia mbinguni, shetani akatupwa duniani, anataka ku revenge.
 
Vita ya shetani na Mungu ilianzia mbinguni, shetani akatupwa duniani, anataka ku revenge.
Sasa asilimia ya wayahudi waliopo hapo middle east ni ndogo kuliko waiopo nje ya hapo. Urusi, ulaya, India, US etc wamekaa na Iran kwenyewe wapo Hadi wanamasinagogi kabisa. Kama shida ni ushahidi wao KWA nini wasitoe mfano KWA kuwaua hao walionao. Badala yake wanawatumia kama sample ya Kuonyesha KUWA wairan ni watu wema.
 
Kuna makubaliano ya kimataifa kua hakuna kurutubisha uranium au kua na vinu vya nuclear bila baraza la amani la kimataifa kujua,Iran alisema Hana kitu Kama hizo

Mwaka 2002 ikagundulika ana projects za kutengeneza Nuclear kwa Siri na yupo katika hatua nzuri,.watu wakaanza kua na mashaka kwanini kafanya Siri? ikagundulika anatengeneza siraha za maangamizi,.

Itikadi za Iran,misimamo yake,Nani atakubali awe na Bomu la nyuklia??siku zote ana ndoto ya kuangamiza Israel,Je akipata Hilo bomu itakuaje?hata ningekua Mimi nisingekukaribisha adui awe na silaha hatari..

Hofu ya marekani ni kwamba Kama Iran atakua na technology hiyo atawapa adui zake(wa marekani)..

Kuna reports zinasema hata baadhi ya nchi za kiarabu Jordan, Saudi Arabia hawataki Iran awe na Nuclear,ni tishio kwa mataifa ya kislam ambayo Wana itikadi tofauti na Iran. Shia-Sunni

Kama tatizo maendeleo tu why Pakistan kaachiwa atengeneze nuclear??Wa iran washari
 
Swali hili ndio watu wanajiuliza.
Kwa nini Pakistani haishambuliwi na Israel wakati nao ni waislam wenye msimamo mkali na wanaomiliki Nuke
 
Hii imekaa ki masjid sana na wala haina mantiki yoyote. Anzisha vita basi ukayafute kwenye ramani ya dunia maana wenyewe wenye dini yao wameshakiri kushindwa sasa wewe wa kudandia dini kama gari bovu ndio utaweza.

Very hopeless indeed.
Haya maneno umeyaandika kama mtu mwenye akili ndogo ya kufikiri. Mimi nimetoa maoni yangu. Kwa hiyo siyo lazima ukubaliane nayo, au mimi nikubaliane na maoni yako. Keep cool, ok. Hakuna sababu ya kuleteana dharau kwenye mambo ya kipuuzi.
 
Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?

Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.

Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.

ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?

Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.

Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Kwa sababu Israel inaua na kutaka kuwafuta Wapalestina kwenye Ardhi Yao.

Iran ni mtetezi wao kama kama kubwa la makafir USA anavyomtetea Israel.
 
Zamani kabla ya 1979 ilikuwa haiingilii zaidi Iran ilishirikiana kwenye mambo MENGI na Israel ya kimaendeleo. Miradi ya kilimo etc.
Huoni chanzo cha kufuatiliwa ni kauli za kutaka kuifuta katika ramani ya dunia.
Ingekuwa wewe unasikia mtu anatangaza kulifuta wewe na familia yako, ungelala na kumchekeachekea

Umbali sio shida, North Korea Iko mbali na US lakini anapambana kutengeneza missile ifike US katika harakati za kujitetea.
Doh doh kaka!
Israel ameanza kuihujumu Iran miaka ya 1980s.
Kauli ya kuifuta Israel imekuja kutamkwa miaka ya 2000s.
Embu FANYA uwiano.
Cha kuongezea Indonesia haigusani kimaslahi eidha na USA au Israel.
North Korea kimaslahi inaigusa USA kupitia South Korea.
Nadhani umbali utajua kwanini nimeutumia.
 
Hivi unajisikiaje kusema uongo bila aibu? Iran ilianza kutangaza uadui na kuifuta Israel hata kabla hao wanasayansi hawajaanza kuuawa. Siku kadhaa baada ya mapinduzi ya kiislamu Iran ilitangaza uadui na Israel na kudai italifuta.
Kaka mie nianze kuhangaika na wewe ilhali huna unalolijua!?
Iran imefanya mapinduzi 1979.
Na bado Iran walikua na urafiki na Israel hadi kufikia miaka ya 1988+ ndio uadui ulipoanzia.
We kijana mdogo huna unachojua .
Kauli ya kuifuta aliitamka Ahmedinajad akiwa rais wa Iran miaka ya 2000s.
Jinga kabisa wewe.
 
Mimi nasoma Quran
Wayahudi wapo middle east tangu enzi za Mtume. Caliph Uthmani alivamia Jerusalem na kuwateka anasema tutasambaza uislam KWA KWA wayahudi sio KWA kulazimishia bali KWA kuonyesha uzuri wake na kuweka mfano Bora Hadi wayahudi waupende na kujiunga.

Hii ya kuwafuta KWA nini isingeanza na Mtume Mohammad SAW na Maswahiba wake inaibuka tu kwenye Uislam wa Iran?
Wengine hawalioni Hilo. Wema unavuta watu Tena wanavutika wakiwa na Hali ya kupenda wanachokiamini
 
Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?

Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.

Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.

ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?

Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.

Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Aliyeanzisha vita ndiyo atavimaliza ndiyo mwenye shida
 
Back
Top Bottom