Hivi unajisikiaje kusema uongo bila aibu? Iran ilianza kutangaza uadui na kuifuta Israel hata kabla hao wanasayansi hawajaanza kuuawa. Siku kadhaa baada ya mapinduzi ya kiislamu Iran ilitangaza uadui na Israel na kudai italifuta.Indonesia iko mbali sana na Israel,Wala maslahi yake hayaguswi na Israel kivyovyote.
Hizo kauli zilikuja ama kuibuka baada ya Israel kuwa anaiingilia sana maslahi ya Iran.
Mathalan kuua wanasayansi wake wa nuclear Israel hajaanza leo.
Hivyo chokochoko za Israel dhidi ya Iran akishirikiana na USA ndio zimeibua hiyo kauli.
Of course hata Mimi ningetoa hiyo kauli.
Haiwezekani Kila mara wewe unaingilia maslahi yangu Kesha nikuache.
Israel anamchongea Kwa US apigwe vikwazo hio tech nani atanunua? Wakati una vikwazo?Sasa KWA nini Nyuklia mkuu wakati wanamafuta MENGI ambayo yangewasaidia kutatua changamoto za nishati.
Kwa nini hao wanasayansi wasingejikita kwenye kuliko, biashara na uvumbuzi wa makombora ya kisasa na mitambo ya kisasa wakapiga faida KWA kuyauza dunia nzima. Mfano Fattah limenifurahisha sana jinsi linavyomanouver na kukwepa ADS tena KWA spidi kali mach zaidi ya 15. Mbona Bado walikuwa na fursa kubwa ya kuitajirisha nchi kupitia weledi wao
Mimi nasoma QuranKabisa mkuu. Dini hapo haiusiki kwa chochote kile. Kwani dini ndiyo imesema kuifuta Israel mpaka ausishe dini?. Ilyotamka ni Iran na siyo dini.
Marekani na washirika wake hawana shida na dini yako ikiwa huingilii maslahi yao, au ikiwa kuna kitu wanataka kwako ukawanyima ndipo shida inaazia... Mbona waowao huwatumia waislamu kupigania maslahi yao?Mbona waislam wananunua makanisa MENGI ulaya na kuyafanya misikiti. Mbona wazungu wengi siku hizi wanajiunga na uislam kuliko zamani. Na wazungu wengi hata ukristo hawana ishu nao zaidi wamehamia kwenye atheism. Unaweza kufafanua zaidi unachomaamisha
Hadithi ni vitu ambavyo uislam hauviamini sana maana nyingi zinastori za ajabu. Ila kinachowaunganisha ni Quran.Iran ndio ina uthbutu wa kujaribu kufanikisha walichoamriwa na mtume wao...
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Kikubwa wale usiwatunishie misuli wakati huna watu wa kukusaidia. Watakubonda tu maana wao haji mmoja wanakuja wote kukupiga KWA mkupuo na kuweka maslahi yao KWA lazima. Sasa utajichanganya sana kama utakuwa na vision ya kuwaua kabisa au kuua wadau wao.Marekani na washirika wake hawana shida na dini yako ikiwa huingilii maslahi yao, au ikiwa kuna kitu wanataka kwako ukawanyima ndipo shida inaazia... Mbona waowao huwatumia waislamu kupigania maslahi yao?
Vita ya shetani na Mungu ilianzia mbinguni, shetani akatupwa duniani, anataka ku revenge.Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?
Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.
Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.
ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?
Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.
Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Sasa asilimia ya wayahudi waliopo hapo middle east ni ndogo kuliko waiopo nje ya hapo. Urusi, ulaya, India, US etc wamekaa na Iran kwenyewe wapo Hadi wanamasinagogi kabisa. Kama shida ni ushahidi wao KWA nini wasitoe mfano KWA kuwaua hao walionao. Badala yake wanawatumia kama sample ya Kuonyesha KUWA wairan ni watu wema.Vita ya shetani na Mungu ilianzia mbinguni, shetani akatupwa duniani, anataka ku revenge.
Mbona Pakistan kaachiwa bila chuki na roho mbaya,why Iran?Hakuna kingine zaidi ya chuki na roho mbaya.
Imani nyingine zipo kuvuruga amani ya Dunia.
Swali hili ndio watu wanajiuliza.Kuna makubaliano ya kimataifa kua hakuna kurutubisha uranium au kua na vinu vya nuclear bila baraza la amani la kimataifa kujua,Iran alisema Hana kitu Kama hizo
Mwaka 2002 ikagundulika ana projects za kutengeneza Nuclear kwa Siri na yupo katika hatua nzuri,.watu wakaanza kua na mashaka kwanini kafanya Siri? ikagundulika anatengeneza siraha za maangamizi,.
Itikadi za Iran,misimamo yake,Nani atakubali awe na Bomu la nyuklia??siku zote ana ndoto ya kuangamiza Israel,Je akipata Hilo bomu itakuaje?hata ningekua Mimi nisingekukaribisha adui awe na silaha hatari..
Hofu ya marekani ni kwamba Kama Iran atakua na technology hiyo atawapa adui zake(wa marekani)..
Kuna reports zinasema hata baadhi ya nchi za kiarabu Jordan, Saudi Arabia hawataki Iran awe na Nuclear,ni tishio kwa mataifa ya kislam ambayo Wana itikadi tofauti na Iran. Shia-Sunni
Kama tatizo maendeleo tu why Pakistan kaachiwa atengeneze nuclear??Wa iran washari
Haya maneno umeyaandika kama mtu mwenye akili ndogo ya kufikiri. Mimi nimetoa maoni yangu. Kwa hiyo siyo lazima ukubaliane nayo, au mimi nikubaliane na maoni yako. Keep cool, ok. Hakuna sababu ya kuleteana dharau kwenye mambo ya kipuuzi.Hii imekaa ki masjid sana na wala haina mantiki yoyote. Anzisha vita basi ukayafute kwenye ramani ya dunia maana wenyewe wenye dini yao wameshakiri kushindwa sasa wewe wa kudandia dini kama gari bovu ndio utaweza.
Very hopeless indeed.
Kwa sababu Israel inaua na kutaka kuwafuta Wapalestina kwenye Ardhi Yao.Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?
Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.
Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.
ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?
Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.
Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Doh doh kaka!Zamani kabla ya 1979 ilikuwa haiingilii zaidi Iran ilishirikiana kwenye mambo MENGI na Israel ya kimaendeleo. Miradi ya kilimo etc.
Huoni chanzo cha kufuatiliwa ni kauli za kutaka kuifuta katika ramani ya dunia.
Ingekuwa wewe unasikia mtu anatangaza kulifuta wewe na familia yako, ungelala na kumchekeachekea
Umbali sio shida, North Korea Iko mbali na US lakini anapambana kutengeneza missile ifike US katika harakati za kujitetea.
Kaka mie nianze kuhangaika na wewe ilhali huna unalolijua!?Hivi unajisikiaje kusema uongo bila aibu? Iran ilianza kutangaza uadui na kuifuta Israel hata kabla hao wanasayansi hawajaanza kuuawa. Siku kadhaa baada ya mapinduzi ya kiislamu Iran ilitangaza uadui na Israel na kudai italifuta.
Wengine hawalioni Hilo. Wema unavuta watu Tena wanavutika wakiwa na Hali ya kupenda wanachokiaminiMimi nasoma Quran
Wayahudi wapo middle east tangu enzi za Mtume. Caliph Uthmani alivamia Jerusalem na kuwateka anasema tutasambaza uislam KWA KWA wayahudi sio KWA kulazimishia bali KWA kuonyesha uzuri wake na kuweka mfano Bora Hadi wayahudi waupende na kujiunga.
Hii ya kuwafuta KWA nini isingeanza na Mtume Mohammad SAW na Maswahiba wake inaibuka tu kwenye Uislam wa Iran?
Kabisa mkuuPoint yako Iko wazi sana. Inajifafanua
Aliyeanzisha vita ndiyo atavimaliza ndiyo mwenye shidaInakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?
Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.
Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.
ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?
Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.
Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Alisema kweli, walichosema hyo ni nchi ya Palestina na Israel ni coloni, hivyo kufikia 2040 watamtoa Israel hapoNaomba source ikithibitisha Iran kusema hivyo