Iran mjanja sana, alikuwa anatumia vikundi vyake kupigana, mpango wake ni apate Nuclear ndo aanze kupigana directKwa mfano tuchukulie vita hii ya Sasa Iran hakua kabisa anataka vita japo ndugu zake Palestine wanauawa , lakini Israel wakamvamia na kuua viongozi nani mgomvi? Siku zote ukisikia Iran kabutua mtu yeye Anakua kachokozwa saivi west yote wanapiga kelele wanaacha kukemea upumbavu wa mazayuni, mwanzo wa vita siku ya kwanza walikua wanafurahia Iran kuvamiwa. Mtu kua na nyuklia Tena kakubali pafanyike makubaliano namna nzuri ya kuindesha nyuklia yenyewe anavamiwa kwanini? Kinacho mpata mzayuni saivi ni matokeo ya ujinga wake mwenyewe na atafumuliwa na hakuna kitu US wala Europe watafanya Irani mlishamchelewa muda mark this
Sasa kwanini wasijikite wakati wamesoma!!!,,elimu bila kuifanyia kazi inakua haina maana tena.Sasa KWA nini Nyuklia mkuu wakati wanamafuta MENGI ambayo yangewasaidia kutatua changamoto za nishati.
Kwa nini hao wanasayansi wasingejikita kwenye kuliko, biashara na uvumbuzi wa makombora ya kisasa na mitambo ya kisasa wakapiga faida KWA kuyauza dunia nzima. Mfano Fattah limenifurahisha sana jinsi linavyomanouver na kukwepa ADS tena KWA spidi kali mach zaidi ya 15. Mbona Bado walikuwa na fursa kubwa ya kuitajirisha nchi kupitia weledi wao
Bila Marekani au Russia usingeongea hivi..Hawa ndo walimaliza world war 2 na kutokomeza ukoloniKimsingi ukifanikiwa kuzifuta hizi nchi mbili, hakika utakumbukwa vizazi na vizazi! (Marekani na Israel)!! Kwa nini? Jibu ni kwamba hizo nchi mbili ndiyo kitovu cha uovu wote duniani.
Yaani ukiona watu wanakufa kwa magonjwa au vita, basi fahamu fika chanzo chake ni Marekani au Israel. Na hapa sijaongelea usodoma na gomora! Na wenyewe chanzo chake ni huko huko.
Ni ushetani wa kidini unaoitwa "jihad".Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?
Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.
Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.
ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?
Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.
Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Umemjibu Vizur Kuna Watu Hawafatilii Vyombo vya Habar Duniani, Arjazera, CNN,BBCHii ni miaka 19 iliyopitaView attachment 3374050
Ukifatilia Mikataba ya Dunia Kuhus Silaha za Maangamizi inasema Kwamba Hakuna Nchi Yoyte Inayoruhusiwa kutengeneza Silaha hizo wala Kuzisambaza kwa nchi Nyingine Nchi zilizo Kuwa Nazo Zibaki Nazo hizo hizo Na nchi ni Chache tuu ,US,Russia, UK,France, North Korea, India,na Pakistan hizo Nchi Zilikuwa nazo hizo silaha kabla ya Mkataba Kusainiwa kwa Hiyo hawa ndio Wana Mamlaka ya Kumiliki na Matumizi ya Silaha hizo Sio Kama Za kawaida ina Sheria ZakeMkuu USA imeiwekea Iran vikwazo vya kiuchumi na silaha tangu mwaka 1979.
Hizo biashara unazosemea angezifanyaje?
Haijatosha licha ya vikwazo bado USA akawa anamhujumu Iran kupitia Israel na baadhi ya nchi za kiarabu.
Iran kutumia nishati ya nuclear ni haki yake kama nchi zingine.
Anayo haki ya kufanya maendeleo mengine na yeye.
Vikwazo vya Iran ni vya kiuchumi na vya kuuza silaha za kawaida na kutengeneza Wala sio nuclear.Ukifatilia Mikataba ya Dunia Kuhus Silaha za Maangamizi inasema Kwamba Hakuna Nchi Yoyte Inayoruhusiwa kutengeneza Silaha hizo wala Kuzisambaza kwa nchi Nyingine Nchi zilizo Kuwa Nazo Zibaki Nazo hizo hizo Na nchi ni Chache tuu ,US,Russia, UK,France, North Korea, India,na Pakistan hizo Nchi Zilikuwa nazo hizo silaha kabla ya Mkataba Kusainiwa kwa Hiyo hawa ndio Wana Mamlaka ya Kumiliki na Matumizi ya Silaha hizo Sio Kama Za kawaida ina Sheria Zake
Mkuu Israel kalifuta taifa lililokuwa linaitwa Palestine. Iran hana ubavu huo.Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?
Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.
Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.
ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?
Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.
Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Ukipata muda utasoma EZEKIELI 38 yote. Ezekiel nabii aliyeishi miaka 600 kabla ya Kristo alitabiri mambo ya siku za mwisho.Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?
Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.
Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena yenye uelewa mkubwa kama Indonesia lakini hawana hayo malengo.
ALafu KWA nini aweke wazi, KWA nini asingefanya Siri ili mlengwa asijiandae?
Dunia inavitu vya ajabu kimojawapo ni huu msimamo wa kulifuta taifa lingine tena KWA kusema wazi.
Wajuvi mtujuze nini Msingi wa msimamo huu
Mbona unawapangia Iran maisha na jinsi ya kujilindaSasa KWA nini Nyuklia mkuu wakati wanamafuta MENGI ambayo yangewasaidia kutatua changamoto za nishati.