Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Jana Pakistan limetokea shambulio la bomu katika msikiti wa Shia na kupelekea mauaji zaidi ya washia 30, ni kawaida sana kwa mashambulio kama haya kutokea kwenye nchi kadhaa kwenye jamii za Shia huko Asia,
Kwa nini Wasunni hawawakubali washia kama Waislamu wenzao wakati wanafanana kila kitu katika mambo ya msingi ya imani ya Kiislamu?
Kwa nini Wasunni hawawakubali washia kama Waislamu wenzao wakati wanafanana kila kitu katika mambo ya msingi ya imani ya Kiislamu?