Kwanini Shia wanapigwa vita sana na Wasunni kama vile sio Waislamu?

Kwanini Shia wanapigwa vita sana na Wasunni kama vile sio Waislamu?

😄😄😄 Hata wewe mariposa

Unaamini huo ujinga !?
Ili ujue kitu kama ni ujinga ama sio ujinga sharti lake unapaswa ukisome, mimi napenda kujifunza vitu vingi sijaifunga akili yangu sehemu moja,
Ukikielewa kitu basi hakuna mtu anayeweza kukwambia kinyume chake.
 
Aisee!! Nakushauri tu fuatilia Kwa kina hayo mambo no scummer
 
Hivi hawa members waislam humu kina THE BIG SHOW, Ritz, malaria2, Faiza Fox ni waislam wa aina gani kati ya shia na suni?
Wengi zero brain wazee wa ubwabwa ni sunni,hakuna shia mpuuzi hao wanajielewa ndiomana usa ana haha na iran hadi leo.

Ila suni wote ni wanafiki akili zao zimehamia tumboni..wanamkana hata mudi wao kisa sahani ya ubwabwa na tende.
 
Mashia sio Waislam, ili mtu awe Muislam katika zile nguzo 6 za imani kuna nguzo ya kuamini Mitume yake (ya Allah S.W) sasa Mashia hawamuamini Mtume Muhammad (S.A.W) badala yake wanamchukulia mjukuu wa Mtume Imam Hussein ndie kiongozi wao,

Katika hizo hizo nguzo 6 za imani kuna kuamini vitabu vyake (vya Allah S.W) Mashia wao wana Msahafu wao, wamebadili baadhi ya Ayaa na ukifunua msahafu wao utakutana na picha ya kiongozi wao,
wakiswali wanasujudia kijiwe, wana tumambo mambo twao ili mradi tu tafrani,

Mashia sio Waislam japo wanapenda kujinasibu Uislam na ndio bifu lilipoanzia hapo.
Kama sio waislamu kwanini wanahiji pale mecca ?
 
Nakujibu hii ya mwisho kisha niendelee na starehe yangu,
Uislam umeundwa kwa nguzo 5,
1. Kutoa shahada
2. Kuswali sala 5
3. Kutoa Zaka
4. Kufunga Ramadhani
5. Kuhiji (kwa mwenye uwezo)

Nguzo za IMANI zipo 6
1. Kumuamini Allah
2. Kuamini Malaika wake
3. Kuamini Vitabu vyake
4. Kuamini Mitume yake
5. Kuamini siku ya mwisho
6. Kuamini Qadar/Uwezo wa Allah

Nenda kawasome Mashia vizuuuri nenda kausome Uislam vizuuri hapo ndio utapata jibu kua Mashia ni Waislam ama sio Waislam
Wewe ni muislamu?
 
Mashia sio Waislam, ili mtu awe Muislam katika zile nguzo 6 za imani kuna nguzo ya kuamini Mitume yake (ya Allah S.W) sasa Mashia hawamuamini Mtume Muhammad (S.A.W) badala yake wanamchukulia mjukuu wa Mtume Imam Hussein ndie kiongozi wao,

Katika hizo hizo nguzo 6 za imani kuna kuamini vitabu vyake (vya Allah S.W) Mashia wao wana Msahafu wao, wamebadili baadhi ya Ayaa na ukifunua msahafu wao utakutana na picha ya kiongozi wao,
wakiswali wanasujudia kijiwe, wana tumambo mambo twao ili mradi tu tafrani,

Mashia sio Waislam japo wanapenda kujinasibu Uislam na ndio bifu lilipoanzia hapo.
Kama sio waislamu kwanini wanahiji pale mecca
Kama kweli Shia hawamuamini Muhammad kama mtume wa mwisho na wana Quran yao tofauti hapo lazima kweli pachimbike na waja wenye msimamo mkali.
Sio kweli wanatumia Quran hii moja ,wanatofautiana kwenye vitabu vya Hadith ,na shia hawawakubali maswahaba wote ,sunni wanawakubali wote

Huyo anakudanganya ,

Ndani ya Sunni tu Kuna mtifuano mkali sana kama wa shia na sunni ,Kuna makundi ndani ya Sunni wanawakubali shia
 
ACHA UPOTOSHAJI !!!
SHIA WANAMTAMBUA MTUME MUHAMMAD KWA 100%
NYIE MAMLUKI ACHENI MAMBO YA WAISLAM WACHANGIE WAISLAM

Shia Muslims believe that Muhammad is the final messenger of Allah, a core tenet shared with all Muslims. They affirm his prophethood, the divine origin of the Qur'an, and his role in establishing Islam.
Key details regarding this belief include:
  • Fundamental Faith: Shia Muslims testify that "there is no god but Allah and Muhammad is His messenger" as part of their profession of faith, although it may be accompanied by a phrase affirming Ali as the wali of God.
  • Seal of the Prophets: Shia theology firmly considers Prophet Muhammad to be the Khatam an-Nabiyyin or final prophet in the chain of divine guidance.
  • Reverence: Shia Muslims hold a deep reverence for the Prophet Muhammad and his family (Ahl al-Bayt).
  • Follow the Sunnah: Shia Muslims follow the teachings, traditions, and examples (Sunnah) of the Prophet Muhammad.
Differences between Shia and Sunni Muslims regarding the Prophet focus on the succession (Imamate) rather than his role as the messenger
Wakati wewe unaitegemea google mimi nimekaa na Mashia, nimekula nao, nimezungumza nao, nimefanya nao midahalo mbali mbali, nimewauliza maswali mbali mbali nina hadi cheti chao walinikabidhi hahahahaha pole sana.
 
MASHIA WANAMILIKI MAJUMBA MENGI MIJINI, NIWAFANYA BIASHARA WAKUBWA NA WANAPESA KWELI, VYAKULA KWAO SI KESI KWENYE MIKUSANYIKO, HAMNA KUCHANGISHANA WAO HUTOA TU NA KIPUNGA KULIWA UPANDE WA PILI BAKULI LINAHUSIKA SANA.

NI KWELI UTOFAUTI UPO, MFANO GSM NA MO DEWJI WOTE WAISLAMU ILA MADHEHEBU TOFAUTI
 
Mashia sio Waislam, ili mtu awe Muislam katika zile nguzo 6 za imani kuna nguzo ya kuamini Mitume yake (ya Allah S.W) sasa Mashia hawamuamini Mtume Muhammad (S.A.W) badala yake wanamchukulia mjukuu wa Mtume Imam Hussein ndie kiongozi wao,

Katika hizo hizo nguzo 6 za imani kuna kuamini vitabu vyake (vya Allah S.W) Mashia wao wana Msahafu wao, wamebadili baadhi ya Ayaa na ukifunua msahafu wao utakutana na picha ya kiongozi wao,
wakiswali wanasujudia kijiwe, wana tumambo mambo twao ili mradi tu tafrani,

Mashia sio Waislam japo wanapenda kujinasibu Uislam na ndio bifu lilipoanzia hapo.
Bora hata mashia wanajitambua kidogo ndio maana wamekataa kumuamini mtume alieoa kitoto cha miaka 6
 
Mimi naamini hao wako peaceful sana japo wana msimamo kweli kweli.
Ila huwa nachanganyikiwa pale wanaposemwa kuwa wao si waislaam.

Mgawanyiko mkubwa ndani ya Uislamu unaonekana wazi kati ya Sunni na Shia, lakini pia ndani ya kila kundi kuna mashina madogo yenye mitazamo tofauti.

Msunni akienda Iran kwa ajili ya kujifunza Ushia mara nyingi anarudi akiwa na mitazamo ya Shia., na hataki Tena usunni.

Hii inatokea kwa sababu masomo katika baadhi ya shule za Iran hujikita kwenye tafsiri ya Shia, ukaguzi wa historia ya familia ya Mtume (Ahlul Bayt), na fikra za masuala ya kiasili ya uongozi (Imamate).

Wakati huohuo, msuni anamuita Shia kafiri sababu haelewi misingi ya Shia.

Kichekesho sasa hata ndani ya Sunni, kuna makundi mengi yenye mitazamo tofauti. Wahabi wanafuata tafsiri kali ya vitabu vya hadith na hujikita sana kwenye ukali wa kufuata mafundisho ya Mtume.,Hawa ndio zao la kina Osama bin laden,Hawa wazee wa Mabikira 72,na mito ya pombe ,

Kuna Salafi wanajikita kwenye mafundisho ya awali ya wafu wa dini wa karne za mwanzo, wakisisitiza Qur’an na Sunnah bila tafsiri za kisasa.

Kuna Ansar Sunni hufuata mafundisho ya jamii zao mara nyingi wakichunguza matukio ya kijamii na historia ya dini.

Halafu Kuna Hawa vichaa Ahl al-Sunnah wal-Jamaah ni wanasoma fiqh kwa Hanafi, Maliki, Shafi’i, na Hanbali.

Mgawanyiko huu unaonyesha kuwa tatizo si tu kati ya Sunni na Shia, bali pia ndani ya Sunni wenyewe wanaitana makafiri

Kuna wazee wa bidaa humo ,

Kuna kundi lao lipo fb ,Kuna mtifuano humo Kuna wahabi, salafi, Ansar sunna, waljamaa
Humo hakuna shia ni sunni tu hao

Ukiingia kama mgeni utajua ni dini tofauti ,kumbe wote sunni ila wanavyotukanana hatari sana
 
ACHA UPOTOSHAJI !!!
SHIA WANAMTAMBUA MTUME MUHAMMAD KWA 100%
NYIE MAMLUKI ACHENI MAMBO YA WAISLAM WACHANGIE WAISLAM

Shia Muslims believe that Muhammad is the final messenger of Allah, a core tenet shared with all Muslims. They affirm his prophethood, the divine origin of the Qur'an, and his role in establishing Islam.
Key details regarding this belief include:
  • Fundamental Faith: Shia Muslims testify that "there is no god but Allah and Muhammad is His messenger" as part of their profession of faith, although it may be accompanied by a phrase affirming Ali as the wali of God.
  • Seal of the Prophets: Shia theology firmly considers Prophet Muhammad to be the Khatam an-Nabiyyin or final prophet in the chain of divine guidance.
  • Reverence: Shia Muslims hold a deep reverence for the Prophet Muhammad and his family (Ahl al-Bayt).
  • Follow the Sunnah: Shia Muslims follow the teachings, traditions, and examples (Sunnah) of the Prophet Muhammad.
Differences between Shia and Sunni Muslims regarding the Prophet focus on the succession (Imamate) rather than his role as the messenger
Vizuri,nenda ukawafuatilie zaidi ujue itikadi zao kwa undani zaidi
 
Vizuri,nenda ukawafuatilie zaidi ujue itikadi zao kwa undani zaidi
Tatizo mnajadili mambo YA WAISLAM ambayo hamna elimu nayo
SHIA na SUNNI wametofautiana zaidi kwenye Sunna
Sunna kwa Waislam ni mambo ambayo ukiyafanya ni vizuri na usipoyafanya sio kosa (hupati dhambi).
WAPOTOSHAJI na MAMLUKI NDIO HUTUMIA HIZO TOFAUTI ZA SUNNA KUWADANGANYA WAJINGA WENZAO !!
 
Back
Top Bottom