Kwanini Shia wanapigwa vita sana na Wasunni kama vile sio Waislamu?

Kwanini Shia wanapigwa vita sana na Wasunni kama vile sio Waislamu?

Vizuri,nenda ukawafuatilie zaidi ujue itikadi zao kwa undani zaidi
MASHIA ndio waislamu halisi ,nyie sunni njaa zinawasumbua tu
FB_IMG_1770453381556.jpg
 
Tatizo mnajadili mambo YA WAISLAM ambayo hamna elimu nayo
SHIA na SUNNI wametofautiana zaidi kwenye Sunna
Sunna kwa Waislam ni mambo ambayo ukiyafanya ni vizuri na usipoyafanya sio vibaya (hupati dhambi).
WAPOTOSHAJI KWA UJINGA WAO HUTUMIA MUDA MWINGI KUDANGANYA WATU!
Hivi wewe umewahi kusoma kitabu kipi cha Shia?
 
Sunni na Shia wote ni Waislamu
Wana Qur’an moja, Mtume mmoja, na Allah mmoja
Tofauti zao ni zaidi kihistoria na kisheria, si msingi wa imani
Baada ya kufa kwa Muhammad likaja suala la kurithi uongozi wa Uislam
Ikafanyika Shura (Baraza au Council) ili kuchagua kiongozi/khalifa/caliph
Wengi walitaka uende kwa Abu Bakar kwa kuwa alikuwa msaidizi wake mkubwa kwenye uongozi akiwa hai
Familia ya Muhammad , Ahlul Bayt, au the First House wakataka uongozi uende kwa mdogo wake kwa baba mdogo na mkwe wake wake Ali Abi Talib
Sababu kubwa ya kutoelewana ni kuwa uongozi sio wa kifamilia <Shia walivyotaka> kama royal family bali wa umma <Sunni walivyotaka>
Hapo ndipo mgawanyiko ulipotokea
Abu Bakar (kutoka kwa ahlul sunna, wafuasi wa mafunzo ya mtume) akapewa uongozi na wengine wakabaki na Ali
Sunni waliendelea na uongozi kwa Khalifa/Caliph Omar, Othman na kisha akaja Ali ambapo sasa uongozi ukawa wa sehemu moja ingawa bado kuna wale waliokuwa wameshaendelea na ushia na huku uongozi wa Sunna (kufuata matendo ya Muhammad)

Sunni Muslim ni 90% ya waislam wote duniani na wapo sana nchi za Saudi Arabia, UAE, Qatar, Tirkiye, Morocco, Egypt, Tunisia, East na West na Afrika na ndani yake kuna madhehebu 4 ya Hanafi kwa Asia (Pakistan, India, Uturuki)
Maliki kwa Afrika Kaskazini na Magharibi, Shafi’i kwa Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya), Indonesia etc na Hanbali wapo sana Saudi Arabia (ndiyo msingi wa Salafi/Wahhabi) na tofauti
kulingana na tafsiri na uongozi wa imam na elimu ya fiqh (jurisprudence) ilivyotafsiriwa kama msingi wa tofauti ilivyo kwa dini nyingine
Shia nao wakagwanyika kwa uongozi/imamate kuanzia watoto wa Ali (Hassan na Hussein) wakaja kuwa na maimam 12 ( wanaitwa Twelvers au Ithna Asheri kwa kiarabu) na kuendelea kushuka kwenye Ismaili wakiongozwa na Aga Khan, Jafari, Ibrahimi, Bohora kina Zayd na Ahmadiyya, wakimsubiri imam wa 12, Ahmad wana madhehebu hayo ya Ismaili, Bohora, Zayd etc, wengi hawa ni wenye asili ya India
Shia wapo nchi za Iran 85%, , Iraq, Bahrain, India, Lebanon, Yemen , sehemu ya nchi za Ulaya Mashariki na wachache sana Afrika

Kutofautiana kwa madhehebu haupo unique kwa waislam tu
Hata dini za wakiristo kuna wakatoliki, protestant na pentekoste na hawaelewani na wanapingana na historia inaonesha walishapigana sana na kuuana,
Wahindu na buddha nao wanatofautiana siku na aina ya kuabudu
Uyahudi kuna tofauti ya shephardic na ashkenazi nao hakuna anayesifu mwenzake
Uwezo wa kifedha hauhusiani na imani ya mtu
Kuna waislam matajiri sana mf Bahressa, GSM ni Sunni, kina Mo Dewjj ni Shia na kuna sunni na shia mafukara pia kama ilivyo kwa matajiri wakiristo kina Mulokozi, Mengi, Macha na wengineo na mafukara wa kilokole, makatololiki na masabato masalia
 
Hivi wewe umewahi kusoma kitabu kipi cha Shia?
ACHA UPOTOSHAJI; SHIA HAWANA KITABU ZAIDI YA QURAN
Hivyo vitabu vidogo vidogo viingi sio primary wala main books. Hivyo ni vitabu vya ufafanuzi na mambo ya sunna ambayo nimeshasema ukiyafanya ni sawa na usipo yafanya hujatenda kosa.

"Shia Muslims use the Quran as their main, primary, and absolute source of authority. Shia Muslims believe in the same, identical Quran that is used by Sunni Muslims, containing 114 Surahs, and reject any claims that they use a different or altered version"
 
Kwa hiyo wewe unawaunga mkono au sio?
NAWAJUA shia vizuri na sunni NAWAJUA vizuri sana

Mawahabi waligundua hilo kuwa Ahlu Sunnah hawana mchungaji, hivyo wakaingia katika kundi hilo na wakajifanya kuwa wao ni wachungaji bora!

Baada ya Mawahabi kujiingiza katika kundi la Ahlu Sunnah, wakaanza kwa kuwateka akili zao, kisha wakaanza kuzipora na kuzimiliki misikiti na madrassah zao kisha wakaanza kuzibadilisha itikadi zao bila wao wenyewe Masunni kushtuka wala kujifahamu hadi kufikia Ahlu Sunnah kutojitambua wao ni nani na wanaelekea wapi na asili yao ni nini, na huku Mawahabi wakiwaita kuwa ni Makafiri (Ahlul Bid’aa)!

Ndugu yangu mmoja ambaye aliuacha Ushafii anasimulia kuwa: Tangu azaliwe alikulia katika dhehebu la Shafii, ambapo kila baada ya Adhana, duaa Iliyokuwa inasomwa ni ya Allahumma Rabba Haadhihii Da’awati…….
walipoingia mawahabi na kujifanya kuwa wao ndio wachungaji bora, wakawaambia Mashafi kuwa Duaa hii ni Bid’aa kusomwa, hapo duaa hiyo ikaanza kukatwa pole pole kwa ujanja na hadi kufikia leo, Duaa hiyo haisomwi tena!

Baada ya hapo ikaanza kupigwa vita Qunut, nayo pia ikawa ni Bid’aa kubwa sana, mwishowe Qunut ikaondolewa kabisa!

Kisha ikafuatia Duaa baada za Sala, nayo ikafanywa kuwa ni kufru, nayo pia ikapigwa teke!

Mawahabi hawakuishia hapo, Ikafuatia Tasbih kuwa ni Bid’aa, waumini wakapigwa marufuku kuingia nazo msikitini!

Kama haikutosha mabadiliko hayo ya Bida’aa, Ikaletwa sheria nyingine ya kukataza kuingiza Maiti msikitini kwa ajili ya kuswaliwa, ikawa maiti huwekwa uchochoroni huku waumini wakisali ndani za kuta wa msikiti!

Ndugu yangu huyo amesema: Kilichonitia khofu kubwa na huzuni mkubwa ni pale nilipoona maiti ya Mu’min inazikwa kama mzoga wa mnyama aliyeoza asiye na thamani, hapo akaachana na huo “Umoja wa Kiwahabi na Kisunni”!

Leo hii huyo ndugu yangu anafuata Madhehebu ya Shia Ithnaashriy na anasema kuwa anaoina njia Iliyonyooka (Siraat Mustaqiim) ambayo ndiyo njia sahihi aliyoiagiza Mtume (saww).

NENO KARAMALLAH WAJ-HU YAMFANYA MU’MIN KUIKIMBIA USUNNI!

Miaka 30 zilizopita, nilikutana na Bwana mmoja kule Mkoa wa Lindi kwenye Msikiti wa Mashia wa Wahindi hali ya kuwa yeye ni Muafrika, Bwana huyo alikuwa na cheo kikubwa katika Magereza ya Mkoa wa Lindi.

Siku moja nikamuuliza kama yeye alizaliwa katika familia ya Kishia.
Akanijibu kuwa yeye alizaliwa katika familia ya Sunni na yeye mwenye mwanzo alikuwa Msunni kisha akabadilisha madhehebu na kuwa Mfuasi wa Ahlul Baiyt yaani Shia Ithnaashriyya.

Nikamuuliza; Ilikuwaje ukabadilisha msimamo wako baada ya umri wako kuwa mkubwa?
Akanijibu: Kwa miaka mingi katika misikiti yetu ya Ahlu Sunnah wakati wa Sala za Ijumaa, Imam alipokuwa anataja majina ya makhalifa abubakar, umar na uthman, waumini wote pamoja na huyo Imam walikuwa wanasema RADHI ALLAH ANHUM, lakini kila ilipokuwa inatajwa jina la Khalifa Ali Ibn Abu Talib, waumini wote na huyo Imam walikuwa wanasema KARAMALLAH WAJ-HU!

Jambo hili lilikuwa linanishangaza sana, hivyo nikaamua kuwauliza maimamu wetu na mashekhe wetu wa Kisunni kwanini pawe na tofauti baina ya khalifa watatu na na huyo Khalifa wa nne!
Kwanini makhalifa watatu waombewe radhi za Allah wakati mmoja haombewi hivyo na huwa wanasema Karama za Allah ziwe kwenye Sura Yake (Karamallah Waj-hu)?

Nikamuuliza, kisha ikawaje?
Yule bwana akasema; Kwa kweli sikupata majibu ya kuridhisha kutoka kwa mashehe wa Ahlu Sunnah, kila mmoja alikuwa anajibu kivyake na kila jibu niliyokuwa ninapewa haikuniridhisha.
Nilihisi kuwa kuna jambo mzito ambalo hao mashekhe walikuwa wananificha kuhusiana na habari za kuombewa radhi wale makhalifa watatu!
Hivyo nikaamua kumfuata mzee mmoja wa kishia wa kihindi na kumuuliza swali langu hilo.
Majibu aliyonipa yalinishtua sana kwa kuwa Waumini wa Ahlu Sunnah hakuna hata siku moja tuliyoambiwa au kusimuliwa habari hizo, ina maanisha kuwa mashekhe wetu walikuwa wanatuficha kuhusu Makhalifa watatu waliochaguana wenyewe kwa wenyewe kuwa makhalifa hali ya kuwa Mtume (saww) Alituagiza nani wa kumfuata baada yake.

Pia mzee huyo akanifahamisha maana ya wale makhahalifa watatu kuombewa Radhi za Allah ambao walikuwa ni waabudu masanamu (mapagani) kabla ya Kusilimu na baada ya kufariki Mtume (saww) walifanya maasi makubwa!
Na kuhusu Imam Anayesemwa Karamallah Waj-hu ni kuwa tangu azaliwe hakuwahi kuabudia masanamu na kwa hadith ya Mtume (saww) ni kuwa; Kuangalia Sura ya Ali Ibn Abu Talib (as) ni Ibada!

Tangu siku hiyo nikaachana na Usunni na kujiunga na Madhehebu ya kweli ya Shia Itnaashriyya!

Baada ya miaka 30 kupita tangu mazungumzo yangu yafanyike na huyo bwana, nilikuja kukutana naye kwenye Msikiti wa Mashia wa Kihindi pale Morogoro, hivi sasa ana watoto wakubwa ambao wote ni Shia Ithnaashriy na mke wake pia!

Licha ya muda mrefu kupita, Yule bwana amejaaliwa na Mwenyezi Mungu kuwa na afya njema na bado wajhi wake bado upo kama ule wa miaka 30 zilizopita!

Naam! Habari hizi ni za kweli kabisa na siyo habari za kutungwa za Abu Huraira!

Wakati ninaandika post hii nilitafuta habari za Karamallah Waj-hu katika mtandao (google), nikakutana na posts nyingi za Mawahabi zikisema kuwa Kusema Karamallah Waj-hu wakati jina la Imam Ali (as) ni Uzushi mkubwa (Bid’aa), na hivi sasa katika misikiti mingi ya Ahlu Sunnah wameacha kusema Karamallah Waj-hu pale jina la Imam Ali (as) linapotajwa ili kuficha ukweli wa Utukufu wa Imam Ali (as), badala yake wanatumia lile neno la Radhi Allah Anhum majina ya makhalifa inapotajwa!

Kwa hiyo, kwa mara nyingine tena Mawahabi wamewazidi tena nguvu wale kondoo wasio na mchungaji (masunni) na wao kuingia katika kundi la Bid’aa!

Mimi binafsi ninasema: HAO MAWAHABI WENYEWE NA WAFUASI WAO WOTE NI BID’AA (UZUSHI) MKUBWA KABISA KATIKA UISLAM!

Mawahabi ni Makafiri na wanastahili kuepukwa!
 
Shia ni wasomi na wameenda shule

Sunni ni Hawa wazee wa Mabikira 72 na hawana elimu, ni Hawa MASHEIKH ubwabwa

Wengi hawana elimu yoyote wala teknolojia yoyote

Shia ndio waislamu halisi ,sunni ni wahuni ndio wanaojilipua na kujitoa muhanga

Ugomvi wao unaanzia kwenye urithi wa NYUMBA ya mudy na uongozi

Shia ni wabishi wavumilivu kwenye battle field ,sunni ni wanafiki na wasaliti ,wao unaweza kuwahonga hata kwa ubwabwa tu

Nchi zote za kisuni ni vivaraka wa wazungu

Na wazungu anawaweza sababu Sunni ni mnafiki sana ,unaweza kumdanganya hata kwa pipi tu akatoa Siri

Ni watu wenye mihemko na wajinga

Mfano mzuri angalia tu hapa TZ ,

Wananunuliwa kwa ubwabwa tu wanakuja kwenye Camera kutetea wauaji ,hao ndio wasunni


Ukitaka ugomvi wao ilikuwaje nitakuletea

Hawa wasuni ndio wenye ugaidi sana
Mkaanga sumu katika ubora wako kosa likifanywa na mwarabu basi ni Sunni Islam, mwarabu ni sehemu ya Uislam wako 400milion TU! Iweje makosa Yao ya athiri watu B1.4, usomi unamanisha nini kuwa na digrii,masters,PhD, professor au nini? Huo ndio usomi? So watu b1.8 Sio humo hakuna wasomi? Wa hizo level mlizoziweka eti ndio Elimu? Ambapo Hata Africa zimeshindwa kutatua matatizo ya watu umaskiini unaburuta, Elimu Gani Sasa?

Huwezi sema Sunni wajinga Kwa kurefer mwarabu, Kwa mfano wewe hapa ni mjinga mpumbavu mmoja unahemuka bila facts, lakini siwezi kusema wasabato ni wajinga kwasababu yako nitakua sijatenda haki Kwa usabato unaamini wapo ambao ni smart and understanding.
 
KWANINI SHIA HAWAMPENDI AISHA MKE WA MUDY?

UDHALILISHWAJI WA MTUME MUHAMMAD (SAWW) KUPITIA HADITHI ZA KISHENZI ZA AISHA BINTI ABUBAKAR!
Leo katika pekua pekua zangu kwenye FB nikakutana na picha hii ya mashoga kwenye Ukurasa wa wakristo ambapo mshenzi mmoja ameweka picha hiyo na kunukuu hadithi ya yule mke mshenzi na mnafiki aliyepewa cheo Cha mama wa waumini kuwa:
Siku moja Mtume Alikuwa amelala kitandani akiwa uchi, Zaid (ambaye alikuwa mtoto wa kulelewa na Mtume) akagonga mlango, Mtume akainuka kitandani na kufunga mlango, Alipomuona Zaid, akamkumbatia na kuanza kumbusu huku akiwa katika Hali Ile ya kuwa Uchi!
Hadith hii chafu na ya kishenzi imenukuliwa kutoka kitabu cha Sunan Al Tirmidhi.
Riwaya chafu na za kishenzi kama hizi zilizosimuliwa na yule shetani wa kike Aisha bint abubakar zimejaa tele katika vitabu vya masalafi bukhari, Muslim, musnad Ahmad bin hambal na wengine wengi.
Ajabu na jambo la kushangaza ni kuwa pale uchafu kama huu unawekwa hadharani, basi mara moja masunni na mawahabi wanalipuka Kwa pamoja na kuanza kukufurisha Mashia na kutoa maneno mengi ya kashfa, lakini hao wanalipuka hakuna mahala wamethubutu kulaani vitabu vyao Wala kumlaani huyo mama shetani!
Acheni unafiki enyi mashabiki, kumtukana, kumdhalilisha na kutunga uchafu dhidi ya Mtukufu Mtume Muhammad ni kujipalilia adhabu Kali Jahannam
FB_IMG_1770454240652.jpg
 
Mkaanga sumu katika ubora wako kosa likifanywa na mwarabu basi ni Sunni Islam, mwarabu ni sehemu ya Uislam wako 400milion TU! Iweje makosa Yao ya athiri watu B1.4, usomi unamanisha nini kuwa na digrii,masters,PhD, professor au nini? Huo ndio usomi? So watu b1.8 Sio humo hakuna wasomi? Wa hizo level mlizoziweka eti ndio Elimu? Ambapo Hata Africa zimeshindwa kutatua matatizo ya watu umaskiini unaburuta, Elimu Gani Sasa?
Huu ni ukweli mchungu ,Shia ni wasomi na sio ombaomba kama sunni

Nyie sindio mliomba mpewe darubini ya mwezi wa ramadhani

Shia hawawezi kuomba kitu kama hicho

Nyie hata elimu Dunia mnaidharau

Angalia Iran ilivyo na wasomi, wanasayansi

Nyie mtu akijua kuongea kiarabu na kusoma Al fatiha basi anakuwa shehe

Imekuwa utamaduni wa baadhi za watu wa madhehebu za Ahlu Sunnah, Masufi na Mawahabi wakijua kusoma na kuongea Kiarabu basi hujifanya kuwa ameikamilisha Dini na kujipachika ushekhe na mwishowe anageuka kuwa kichekesho kama mazinge,kinyogori,kesedee,Walid,Sule Mziwanda na kama Mapimbi wengine kama yeye!

Uislam ni Mti ambao una matawi mengi sana ambazo kati yake ni Kujua Hadith, Fiqhi, Sayansi, Sheria, Amri za Allah na za Mtume (saww) na mengine mengi sana!
Na mpaka mtu anakamilisha hayo yote ndiyo anaweza kuitwa Aalim au Mwanazuoni, au Sheikh!

Nimewahi kushuhudia katika Hawza za Mashia ithnaashriyya kule Qum na Mash-had, Iran na hata kule Karbala na Najaf, Iràq wapo wanafunzi wa umri mdogo wanaosomea dini hadi wanazeeka na bado wanakuwa hawajamaliza masomo yote!

Sasa iweje wewe unayejua kusoma na kuongea Kiarabu ndiyo ujiite kuwa ni Ustaadh au Shekhe?

Nyie Gavoo ikiwaita ikawapa ubwabwa na juice ,mkitoka hapo ni kufanya uchawa tu

Huwezi kuona Shia wanafanya huo upumbavu

Acheni kuwa mapimbi kwa ajili ya kuwahadaa Waislam kama Pimbi Mziwanda ne wenzie!
 
Mashia sio Waislam, ili mtu awe Muislam katika zile nguzo 6 za imani kuna nguzo ya kuamini Mitume yake (ya Allah S.W) sasa Mashia hawamuamini Mtume Muhammad (S.A.W) badala yake wanamchukulia mjukuu wa Mtume Imam Hussein ndie kiongozi wao,

Katika hizo hizo nguzo 6 za imani kuna kuamini vitabu vyake (vya Allah S.W) Mashia wao wana Msahafu wao, wamebadili baadhi ya Ayaa na ukifunua msahafu wao utakutana na picha ya kiongozi wao,
wakiswali wanasujudia kijiwe, wana tumambo mambo twao ili mradi tu tafrani,

Mashia sio Waislam japo wanapenda kujinasibu Uislam na ndio bifu lilipoanzia hapo.
Huu uongo ,shia wanatumia msahafu huu wa sura 114

Umeongea mengi ya uongo kuhusu MASHIA
 
Hivi hawa members waislam humu kina THE BIG SHOW, Ritz, malaria2, Faiza Fox ni waislam wa aina gani kati ya shia na suni?
Bongo nafikiri 99% ya Waislamu ni Sunni.
 
Kati ya MASHIA na sunni kwa kuwasoma wote ,nawakubali shia na ndio wanaofata uislamu sahihi
Yani wewe mgalatia ndio useme Uislam Sahihi ni upi? unachekesha kwanza katika Uislam hakuna shia Wala Sunni hizo ni janja janja za wahuni Uislam umekamilika na unajitegemea na umejitenga na uchafu na ujinga. Wewe unatabia za kiyahudi kuufitinisha Uislam na Hilo litakutokea puani. Hii ndini inahitaji akili na kusoma sio mihemko
 
Tatizo mnajadili mambo YA WAISLAM ambayo hamna elimu nayo
SHIA na SUNNI wametofautiana zaidi kwenye Sunna
Sunna kwa Waislam ni mambo ambayo ukiyafanya ni vizuri na usipoyafanya sio kosa (hupati dhambi).
WAPOTOSHAJI na MAMLUKI NDIO HUTUMIA HIZO TOFAUTI ZA SUNNA KUWADANGANYA WAJINGA WENZAO !!
Sasa kama tofauti ni ndogo hivyo kwa nini mtifuano huwa mkali hadi kulipuana misikitini au katika maeneo ya kuhiji ya Washia??
 
Yani wewe mgalatia ndio useme Uislam Sahihi ni upi? unachekesha kwanza katika Uislam hakuna shia Wala Sunni hizo ni janja janja za wahuni Uislam umekamilika na unajitegemea na umejitenga na uchafu na ujinga. Wewe unatabia za kiyahudi kuufitinisha Uislam na Hilo litakutokea puani. Hii ndini inahitaji akili na kusoma sio mihemko
Kwamba unataka kusema hakuna shia wala sunni?

Wewe Inaonekana utakuwa Sunni Tena sect ya muhabi ,

Hivi vitu vipo wazi huwezi kuficha
 
Avatar yangu Mimi nimemuweka Ayatollah Sayed Khamenei, kwasababu ni muislam mwenye misimamo na discipline, Mimi sitaki kuamini katika tofauti, namiini Uislam ni mmoja na mtu akitimiza misingi ya Uislam Hata kam ni muyahudi huyo ntamuita muislam hivyo Uislam siamini Kama ni majina au magroup Uislam ni nguzo,misingi na falsafa yake ambayo Hata mkristo mwenye misingi na falsafa inayomatch huyo ni muislam hivyo acheni propaganda na kudhani waarabu ndio waislam halisi kuliko wengine.

Tabia za watu na falsafa ya Uislam ni vitu vitatu tofauti, kilichofanyika Pakistan ni ugaidi Kama ugaidi mwingine wa watu wasio ujua Uislam vizuri na wapumbavu sio umma wa kiislamu wote ujumuishwe Kwa wahuni wachache.
 
Iko hivi, mimi sipo hapa kubishana masuala ya DINI nilikuja kumjibu mtoa mada kuhusu swali lake,
Kama umejiandaa kutunisha misuli na kufura noooope, Mariposa yupo sitting room kwake anaangalia movie huku anashushia glass ya wine mdogo mdogo,🥳🥳🥳

Sorry😃
🤣🤣
 
Kwa hiyo wewe unakubali kuwa ni sahihi kumuingilia mke wako kinyume na maumbile?
Sheikh jalala alilifafanua vizuri sana Tena alitoa dalili ya vitabu vya sunni ndio vinaruhusu ,ngoja nakuletea


Nyie mtawadanganya wasioujua ushia ,ila Mimi NAWAJUA wote wawili

Nina kozi ya kusoma hizi dini kuanzia esoteric na exoteric meaning
 
Back
Top Bottom