Mgawanyiko mkubwa ndani ya Uislamu unaonekana wazi kati ya Sunni na Shia, lakini pia ndani ya kila kundi kuna mashina madogo yenye mitazamo tofauti.
Msunni akienda Iran kwa ajili ya kujifunza Ushia mara nyingi anarudi akiwa na mitazamo ya Shia., na hataki Tena usunni.
Hii inatokea kwa sababu masomo katika baadhi ya shule za Iran hujikita kwenye tafsiri ya Shia, ukaguzi wa historia ya familia ya Mtume (Ahlul Bayt), na fikra za masuala ya kiasili ya uongozi (Imamate).
Wakati huohuo, msuni anamuita Shia kafiri sababu haelewi misingi ya Shia.
Kichekesho sasa hata ndani ya Sunni, kuna makundi mengi yenye mitazamo tofauti. Wahabi wanafuata tafsiri kali ya vitabu vya hadith na hujikita sana kwenye ukali wa kufuata mafundisho ya Mtume.,Hawa ndio zao la kina Osama bin laden,Hawa wazee wa Mabikira 72,na mito ya pombe ,
Kuna Salafi wanajikita kwenye mafundisho ya awali ya wafu wa dini wa karne za mwanzo, wakisisitiza Qur’an na Sunnah bila tafsiri za kisasa.
Kuna Ansar Sunni hufuata mafundisho ya jamii zao mara nyingi wakichunguza matukio ya kijamii na historia ya dini.
Halafu Kuna Hawa vichaa Ahl al-Sunnah wal-Jamaah ni wanasoma fiqh kwa Hanafi, Maliki, Shafi’i, na Hanbali.
Mgawanyiko huu unaonyesha kuwa tatizo si tu kati ya Sunni na Shia, bali pia ndani ya Sunni wenyewe wanaitana makafiri
Kuna wazee wa bidaa humo ,
Kuna kundi lao lipo fb ,Kuna mtifuano humo Kuna wahabi, salafi, Ansar sunna, waljamaa
Humo hakuna shia ni sunni tu hao
Ukiingia kama mgeni utajua ni dini tofauti ,kumbe wote sunni ila wanavyotukanana hatari sana