Kwanini sijawahi kuona ama kusikia mikutano ya dini Masaki, Ostebay ama Posta?

Kwanini sijawahi kuona ama kusikia mikutano ya dini Masaki, Ostebay ama Posta?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Nashangaa hawa hasa watangaza dini wanaochipukia, kwanini wote kutwa kujazana miji ya pembezoni mwa mji kwanini mitaa niliyoitaja hawaendi?

Sijawahi kuona tangazo wala mkusanyiko kule mtu akihuburi injili.
 
Ukiona mtu ni tajiri au tuseme ana pesa ya kutosha basi jua ana akili na pia akili yake imekomaa vya kutosha kujua uhalisia wa maisha.
Wanajua kwamba maisha ni kutumia muda ipasavyo na kutafuta kwa akili na nguvu binafsi na sio kukaa bila kufanya chochote huku ukipoteza muda kwa kuomba na kuota utajiri.
 
Nashangaa hawa hasa watangaza dini wanaochipukia kwanini wote kutwa kujazana miji ya pembezoni mwa mji kwanini mitaa nikiyoitaja hawaendi?
Sijawahi kuona tangazo wala mkusanyiko kule mtu akihuburi injili


Uulize pia kwanini watu wa masaki wanahudhuria sana mikutano ya dini inayofanyika nje ya masaki!?
 
Back
Top Bottom